Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,359
- 145,003
Mwenye picha ya hali ya ufipa na mvua hizi za Dar atuwekee
inasikitisha...
hakuna mbadala wa CCM
mkuu hakuna hata wa kuchambua report za kitaaluma hakuna presidential material kweli.Sana tu!
Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?
Yeriko Nyerere na Halima Mdee?
Hahaaa
nami nasubiria!Mwenye picha ya hali ya ufipa na mvua hizi za Dar atuwekee
Mkuu wewe umechafuka humu ulishatoa details zako humu kisa papuchi, huelewi ushike wapi kamandaSana tu!
Fikiria kwa mfano hivi sasa ndani ya CHADEMA nani ni presidential material?
Yeriko Nyerere na Halima Mdee?
Hahaaa
Unahangaika na hao?hilo ni kundi la kihuni tu kama yale makundi ya kule mexico ya wala ungaCHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.
Hahahahaaa....inachekesha.
Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?
Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?
Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.
Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.
Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!
Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!
Aibu.
Mshaleta ngalawa pale jangwani?Mwenye picha ya hali ya ufipa na mvua hizi za Dar atuwekee
Ripoti imeongelea ufisadi wa Chadema kipindi cha uchaguziKasome ripoti ya CAG ndio uje kuongea hizi pumbu zako.
Wana Yanga tulishazoea hali ile...Ila Lumumba pako swafi kabisa.Mshaleta ngalawa pale jangwani?
aibu kubwa ni ipi... Chadema kufananishwa na Korea au kuwa boi wa wazungu kama ulivyo wewe?CHADEMA ni ufupisho wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
DPRK ni ufupisho wa Democratic People’s Republic of Korea.
Hahahahaaa....inachekesha.
Hivi ndani ya CHADEMA kuna demokrasia gani?
Na hayo maendeleo ni maendeleo gani? Chama kimeshindwa hata kujenga makao makuu ya kisasa ndo kitaweza kuendesha serikali ili iwaletee maendeleo Watanzania?
Wakati mwingine jina linapaswa kuakisi uhalisia wa utambulisho wake.
Ni kituko kwa Korea Kaskazini kujiita ni jamhuri ya kidemokrasi ilhali ni mali ya ukoo wa akina Kim.
Na CHADEMA ni hivyo hivyo. Ni kituko kujiita chama cha demokrasia na maendeleo ilhali ndani ya chama hamna demokrasia yoyote ile iliyo ya maana na maendeleo ndani ya chama hakuna!
Miaka zaidi ya 20 bado mko kwenye kajumba kanakosubiri kudondoka!
Aibu.
Report ya CAG aijamuacha mtu salama kwa kweli.Kasome ripoti ya CAG ndio uje kuongea hizi pumbu zako.