Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Kama magazeti ya mwanahalisi ya Kubenea wanayafungia, wakiwa na TV si itafungiwa mileleCHADEMA hawana
1. Gazeti
2. TV
3.Redio
4. Website
Habari zao zote wanategemea viclip vya you tube na kutoka page ya Mange Kimambi. Ruzuku wanapokea zaidi ya milioni 300 wameshindwa hata kumiliki gazeti au hata TV? Sasa hivi wamiliki wa vyombo vya habari vya binafsi wameanza kuzisusa habari za CHADEMA huu ndi mwanzo wa CHADEMA kupotea kwenye ramani ya siasa.