CHADEMA hawajui washikilie wapi?

CHADEMA hawajui washikilie wapi?

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
115
Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE.

Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao.

Hii ni kwa sababu, CHADEMA kama chama cha kisiasa hakina watu wenye haiba ya uongozi wenye uwezo wa kusukuma mabadiliko ya kisiasa, ila wana kundi la watu wenye haiba ya harakati kwa wananchi.

Ndio maana, ni rahisi kuwafahamu vijana wenye matusi wa CHADEMA kuliko kuwafahamu viongozi wanaoweza kujenga hoja ndani ya chama.

Sasa ajenda za mabadiliko zinatakiwa zijengwe na viongozi wenye haiba ya uongozi kwa wananchi wake, watanzania hawajawahi kuwapokea vizuri wanaharakati, ndio maana akitokea kiongozi wa chama kingine wanamrukia na kumgeuza shujaa, ilihali huyo kiongozi anawatumia CHADEMA kisha mambo yakikaa vizuri kwenye chama chake, anarudi anaendelea na majukumu yake.
 
"Chadema ni kama ukoo wa makambale" alisikika mgombea mwenza wa Chama hicho cha kijanja janja sheikh Juma Duni Haji.
 
Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE.

Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao.

Hii ni kwa sababu, CHADEMA kama chama cha kisiasa hakina watu wenye haiba ya uongozi wenye uwezo wa kusukuma mabadiliko ya kisiasa, ila wana kundi la watu wenye haiba ya harakati kwa wananchi.

Ndio maana, ni rahisi kuwafahamu vijana wenye matusi wa CHADEMA kuliko kuwafahamu viongozi wanaoweza kujenga hoja ndani ya chama.

Sasa ajenda za mabadiliko zinatakiwa zijengwe na viongozi wenye haiba ya uongozi kwa wananchi wake, watanzania hawajawahi kuwapokea vizuri wanaharakati, ndio maana akitokea kiongozi wa chama kingine wanamrukia na kumgeuza shujaa, ilihali huyo kiongozi anawatumia CHADEMA kisha mambo yakikaa vizuri kwenye chama chake, anarudi anaendelea na majukumu yake.
Chadema haina uwezo tena,Heche amekalia kubeti tu,Lissu siku akitoka safari ubelgiji kwa bwana zake
 
Ndugu yangu inaonekana hujui hata maana ya agenda.

Agenda kuu kwa sasa ni kutokubali nchi yetu kuendelea kusimama katika laana ya dhuluma ya haki, ikiwemo haki za kuchagua viongozi, haki za kutoa maoni bila kudhuriwa, na haki za kuishi.

Kwenye haki za uchaguzi, kaulimbiu ni No Reforms No Election.

Hivyo kwa CHADEMA, bila ya kujali mtu ni wa chama gani, wa dini gani, wa jinsia gani, wa kabila gani, wa eneo gani, alimradi anazungumzia haki ya wananchi kuwa na mamlaka ya kuwachagua viongozi wao, huyo ataungwa mkono, kwani anaongelea haki.

Hata ikitokea Samia leo hii akampokea Roho wa Mungu, akabadilika, akaiendea haki badala ya dhuluma, CHADEMA na wapenda haki wote watamwunga mkono. Kwani kinachoangaliwa ni agenda, siyo nani katamka. Hata CCM nzima ikajitenga na shetani, ikatangaza kuwa mwelekeo mpya wa CCM ni kuona haki, uhuru na uwazi vinakuwa mwongozo katika kila jambo, wapenda haki wote wataunga mkono tamko hilo, na hata vyama vyote vitaweza kuja pamoja na kufanya makubaliano ya namna ya uendeshaji wa chaguzi zetu kwa kuzingatia miongozo hiyo. Maana kwa sasa, kikwazo kikubwa cha kutendeka haki nchini mwetu, ni CCM na watawala.

Kumbuka ni furaha na faraja kubwa ikitokea mdhulumu haki mmoja akabadilika na kuwa mpenda haki kuliko hata 10 ambao siku zote wamekuwa wapenda haki. Mabadiliko yatakuja kwa wengi wadhulumu haki watakapobadilika na kuiendea haki.
 
Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE.

Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao.

Hii ni kwa sababu, CHADEMA kama chama cha kisiasa hakina watu wenye haiba ya uongozi wenye uwezo wa kusukuma mabadiliko ya kisiasa, ila wana kundi la watu wenye haiba ya harakati kwa wananchi.

Ndio maana, ni rahisi kuwafahamu vijana wenye matusi wa CHADEMA kuliko kuwafahamu viongozi wanaoweza kujenga hoja ndani ya chama.

Sasa ajenda za mabadiliko zinatakiwa zijengwe na viongozi wenye haiba ya uongozi kwa wananchi wake, watanzania hawajawahi kuwapokea vizuri wanaharakati, ndio maana akitokea kiongozi wa chama kingine wanamrukia na kumgeuza shujaa, ilihali huyo kiongozi anawatumia CHADEMA kisha mambo yakikaa vizuri kwenye chama chake, anarudi anaendelea na majukumu yake.
Hawashiriki uchaguzi

Nyie pambaneni na vita vyenu vya ndani huko
Shida nini kwani
Cdm cdm cdm cdm 🎶 🎵 🎶

Ova
 
Chadema haina uwezo tena,Heche amekalia kubeti tu,Lissu siku akitoka safari ubelgiji kwa bwana zake
Na wanaoijadili chadema ni wale waliopo nje? Kuna yoyote kati yenu ambae yupo karibu nao anaejua ukweli?
 
Irene17 ajenda ni nini, si ndiyo hiyo No reforms No Election? Ina maana akitokea mtu wa chama kingine alieielewa ajenda yao ya NRNE na kuwaunga mkono kwa nini wasimpokee?
Au ajenda lazima iwe ni Mitano tena?
 
Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE.

Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao.

Hii ni kwa sababu, CHADEMA kama chama cha kisiasa hakina watu wenye haiba ya uongozi wenye uwezo wa kusukuma mabadiliko ya kisiasa, ila wana kundi la watu wenye haiba ya harakati kwa wananchi.

Ndio maana, ni rahisi kuwafahamu vijana wenye matusi wa CHADEMA kuliko kuwafahamu viongozi wanaoweza kujenga hoja ndani ya chama.

Sasa ajenda za mabadiliko zinatakiwa zijengwe na viongozi wenye haiba ya uongozi kwa wananchi wake, watanzania hawajawahi kuwapokea vizuri wanaharakati, ndio maana akitokea kiongozi wa chama kingine wanamrukia na kumgeuza shujaa, ilihali huyo kiongozi anawatumia CHADEMA kisha mambo yakikaa vizuri kwenye chama chake, anarudi anaendelea na majukumu yake.
Wamemtuma Gwajimaaaaa awaombee kwa Samia washiriki uchaguzi!
 
Back
Top Bottom