CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia na maendeleo kwasasa kinapitia hali ngumu sana ya mpito siasa za ndani ya chama zikiwa ni mojawapo ya changamoto kali ambazo kama zisipoangaliwa kwaumakini zitapelekea kusambaratika kwa chama na hatimaye kupoteza kabisa matumaini ya watanzania ya maisha Bora na amani.

Mimi Kama mmoja wa wapenda mabadiliko nashauri Chadema ijitazame upya katika kioo na kubaini wapi ambapo kuna matatizo, na Democrasia ya kweli inapaswa kuchukua mkondo wake, kama ilivyo kwa sura ya Mtu kwamba pasipo kioo mtu hawezi kujua ni wapi palipo na uchafu, chadema hii nafasi ya sasa ni nafasi muhimu sana ya kufanya mabadiliko ya kimfumo na kuondoa aina zote za masalia ndani ya chama na kuukabidhi ''UMMA ukiamulie chama'' Umma ndio unajua unachokitaka kutoka kwa CHADEMA.

Napendekeza timu mpya iundwe kuongoza chama na kama nia yakweli ya kuleta mabadiliko ipo. wafuatao waondolewe kabisa katika madaraka ya juu:

1.Freeman Mbowe.
2.Dr slaa.
3.Rwakatare.
4.Tundulisu.

Sindano inauma lakini afya bora ni muhimu kuliko maumivu ya muda mfupi, hawa nilazima waondolewe kwakuwa hawa ndio wanaokidumaza chama, chama hiki sio mali yao ila ni mali ya watanzania.

Kwanini Hao waondolewe katika madaraka ya Juu?
1. Mbowe: Hana jambo jipya kwa watanzania, nimtu anaepigania zaidi umaarufu wake na maslahi yake, kuliko maslahi
ya Taifa, na hili lipo wazi hata wanao muunga mkono wanajitahidi tu kufanya hivyo ila ukweli wanaujua.
2.Dr Slaa: mafia alitaka kumuua zitto ref mwampamba na ya rwakatare.
3.Rwakatare: Anatekeleza mambo maovu ya kuua wasio na hatia kwa maagizo ya wakubwa.
4.Tundulisu: anatetea uovu wa rwakatare.
 
Waanza na Dr. Slaa A.S.A.P hao wengine hata wakibaki chama kinaweza kuendelea...
 
Naunga mkono Hoja,

Ila kosa la slaa ni "KUFUGA KIRUSI" ndani ya chama
 
Inasemekana Tanzania kinara ulevi wa mataputapu, Je umepata mchana huu? haya nenda kachukue posho pale lumumba ukaongezee kunywa mataputapu siku ipite
 
mmeshikwa pa baya kumbe ndo wanaowaumiza vichwa na bado Dr. Slaa, Mboye na Tudnu kaza buti hadi kieleweke 2015 hakuna kulala tumechoka na chama cha mafisadi hata leo jpili chakula cha kupika tabu maisha yamekuwa magumu hadi basi.
 
Nlidhani kuna hoja ya msingi ktk pendekezo lako lkn nimejikita nakuona u msaliti kwa mabadiliko ya kweli.
Yaani unataka kutuaminishinisha TUHUMA za kina Mwampamba na Shonza? You are not serious at all, I repeat; YOU ARE NOT SERIOUS!
 
Wote hao hawana tatizo mtu anae haribu chadema ni mzee edwin mtei anakifanya chama kama cha bibi yake,nashauri atoe invoice chadema wamlipe waachane nae huyu babu ndio mwenye fitina zote hasa za kuleta ukabila ndani ya chadema
 
Mleta mada ni mzalendo wa nchi yake nakubaliana naye.
 
Ccm mnamuogopa slaa

Hakuna wa kumuogopa. Bali kwa masilahi ya ujenzi wa demokrasia, si mtu sahihi kwa wakati kwa.sababu hana jipya bali anajifunza uongozi. Si mkweli kinyume na utashi wa wakati huu. Pia ni mpenda sifa na kwa sasa anadhani yeye ni zaidi Chadema kwa sababu tu, kwamba yeye ndiye mbeleko ya matumaini ya wakristo wanaoiunga mkono Chadema kama ilivyotokea 2010. Zaidi ya hilo hana jipya .
 
Nawasi saana na Ben, sina imani nae ktk CDM. Time will tell.
 
Kusubiri 2015 mbali,tuanze na chama tawala kwanza kwani ndiyo wanaopeleka maisha yetu vibaya
 
Back
Top Bottom