Chadema hawa hawafai

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,506
Kila siku huwa nasema hawa chadema hawafai ona makada wao hawa wameingiza hasara Taifa kwenye Madini.
1. Kamishna Dalali Peter Kafumu(Chadema)
2. Waziri Prof. Muhongo(Chadema)
3. Waziri D. Yona(Chadema)
4. Waziri A. Kigoda(Chadema)
5. Waziri Karamagi(Chadema)
6. Jaji Julius Malaba(Chadema)
7. William Ngereja(Chadema)
8. MAAFISA wa TRA(Chadema)
9. AG A. Chenge(Chadema)
10. AG J. Mwanyika(Chadema)
11. DAG Felix Mrema(Chadema)
12. Mkurugenzi Idara ya Mikataba..Mary Ndosi(Chadema)
13. AG Werema (chadema)

People'sssssssssssssssss
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Hiki chama hakifai..hao wanachama hapo juu wameitafuna hii nchi vilivyo!
 
Watakao toa povu wote watakua WAMEONA kwakua is a must, lakini watakua hawaja TAZAMA kwakua is a choice......
 
Kila siku huwa nasema hawa chadema hawafai ona makada wao hawa wameingiza hasara Taifa kwenye Madini.
1. Kamishna Dalali Peter Kafumu(Chadema)
2. Waziri Prof. Muhongo(Chadema)
3. Waziri D. Yona(Chadema)
4. Waziri A. Kigoda(Chadema)
5. Waziri Karamagi(Chadema)
6. Jaji Julius Malaba(Chadema)
7. William Ngereja(Chadema)
8. MAAFISA wa TRA(Chadema)
9. AG A. Chenge(Chadema)
10. AG J. Mwanyika(Chadema)
11. DAG Felix Mrema(Chadema)
12. Mkurugenzi Idara ya Mikataba..Mary Ndosi(Chadema)
13. AG Werema (chadema)

People'sssssssssssssssss
Mbona hujawataja marais wa Chadema walioruhusu mikataba kusainiwa?
 
Kila siku huwa nasema hawa chadema hawafai ona makada wao hawa wameingiza hasara Taifa kwenye Madini.
1. Kamishna Dalali Peter Kafumu(Chadema)
2. Waziri Prof. Muhongo(Chadema)
3. Waziri D. Yona(Chadema)
4. Waziri A. Kigoda(Chadema)
5. Waziri Karamagi(Chadema)
6. Jaji Julius Malaba(Chadema)
7. William Ngereja(Chadema)
8. MAAFISA wa TRA(Chadema)
9. AG A. Chenge(Chadema)
10. AG J. Mwanyika(Chadema)
11. DAG Felix Mrema(Chadema)
12. Mkurugenzi Idara ya Mikataba..Mary Ndosi(Chadema)
13. AG Werema (chadema)

People'sssssssssssssssss
Yani cdm hawafai hao uliowataja ndio walipokea rushwa nyuma yao chama chakavu chote kinahusika mana ndio pesa za kampeni hizo,wameshiba rushwa mpka akatuita wapumbavu na malofa
 
Huu uzi wakata viuno wa lumumba huwezi kuwaona wko busy kucheza vigodoro vya ripoti wakt wezi ni wao na chama chao.
Hakuna msafi hata mmoja ndani ya chama chakavu kuanzia alienunua feri ya kubeba mifugo mpka aliesign mikataba ya hovyohovyo
 
Back
Top Bottom