pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Au ndio wanakumbushia
Tutadai tuuuKakojoe ulale
Haya ☝🏿 ni madai mapya kabisa inabidi mfalme mbowe aje kuthibitisha kwamba anaongoza misukule kwenye kampuni yakeTUPO MISUKULE KIBAO AMBAO HUTUAMBII CHOCHOTE KWA CHADEMA,
Kamdai maguTutadai tuuu
Sasa si mseme hiyo ruzuku mme deposit kwenye account ya nani?Ruzuku. Pokee wenyewe na ubishi muuweke nyie wenyewe
sori sori kwakweli nilisahau inawaumiza sana.. ukiwa kinara muongoza njia pia.. wenzako munaofata upepo.. vitambulisho vya 20KHaichekeshi.
Magu ndio kachangisha kwenye zile ndoo nyeupe?Kamdai magu
Chama Cha Chato we mbwiga inakuhusu nini?Chama cha Familia oyeeeeeeee
Chadema aka CCF
Muache umbea na wenzako kina Mama D etc.[emoji23][emoji23][emoji23]Wanajaribu kupiga yowe ili kutuma ujumbe kwa mamlaka kwamba jamaniee, tunakufa njaa huku.
Hoja ya kijinga.Kwa Kiingreza, hii hali tungeita fairytale. Usicheze na hela bro. Kinachotokea hapa dhanĺĺa ya mtiririko kihasibu ( "accruals accounting"), hela zimetengwa lakini Msajili akagutuka mambo yasiwe kama ya huko nyuma hela zilikuwa kwenye account ya mtu mmoja.
Michango ya vijana wa CCM wasio na ajira utaijua tuMchangiaji wa zile changizoo kwenye ndooo nyeupe
Wew weka ushahid Kama hampokei, au ndo huwa wanadeposit directly kwa account ya king Mbowe wenzake hawajui😂😂Wewe Mataga weka ushahidi hapa kuwa mnawapa posho acha upoyoyo wako!!
Wewe kweli dishi limepinda. Unachoshangilia hapo ni kipi haswaChama cha Familia oyeeeeeeee
Chadema aka CCF