GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Afadhali CDM wabinafsi na tarifa zao..lakini yangekuwa magamba ungesikia waropokaji kama nape anasema lake, mukama kivyake yani hewa tu hawa majaa..ila CDM mpaka watoe taarifa ujue ipo sawa kwa yeyote atakaeisema hata mtoto mdogo atatoa tarifa hiyohiyo
Wenye maamzi 2015 kumukabizi nnchi ni wanannchi si ccm au cdm hivi vyama vitaomba na katika kuomba kuna2 kupata au kukosa hakuna aliye funga ndowa ya kudumu na wa tz chama chochote kinaweza ongoza naomba tuleje kwenye swali cha kumusaidia kama talifa zimetoka au bado inatosha ushawishi wa kuwafanya watu waendelee kuwa na imai na cdm nipamoja na maneno/vitendo viwe pacha maneno ya kihuni hayatajenga chama maana ya kipya inatakiwa kiwe tofauti na cha zamani kama hakutakuwa na utofauti nikujivunjia wenyeweNani alikuambia Magwanda 2015 mtaichukua hii nchi ? Hii nchi mtaiona hivi hivi!
Nonsense!! tusidanganyane alifuata shamba la kijani hakujua wakulima tupo gado! Nyani wote waondoke!!!Haya ndio matatizo ya siasa zetu, sijasikia kwingine kokote Mbunge akijadiliwa kuwa na msimamo tofauti na wengine katika chama chake. Shibuda, huko ni matatizo tu, hiyo ni kampuni na ni usultani tu huko, si kama chama cha siasa cha kawaida, kama ulikuwa hujui sasa ndio utajuwa.
Badala ya watu kujadili strategies wanakwenda kumjadili mtu.
Madiwani nani kawaogopa wewe? kwa tarifa iliyotoka punde CHADEMA TAIFA imeawaamuru madiwani wote wajiuzulu nyadhifa zao hizi kama vile Naibu Meya, Katibu ila sio cheo cha udiwani upo hapo mkuu?vueni magwanda sasa mkishindwa kuvua magwanda, msituulize kuvua magamba , mmewaogopa madiwani na shibuda leo mlete utumbo wenu hapa? leteni hoja magwanda, acheni propoganda, tuambeni kwa nini mnakuwa wepesi wa kuropoka kuliko kuchukua hatua, maongo makubwa hamuwezi kutwaa nchi maupupu tupu.
eti siri za vikao, mbona nyingine huwa mnaleta haraka humu mnaona aibu sasa!