NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 310
Acha kutuzuga wewe unadhani sisi ni mabwege? Hebu tueleze lini kolamu ilitimia???
Kama hujatumwa na mafisadi ni vizuri lakini kinachotangulia ni haki kwanza.............huwezi kuhalalisha uhuni wa ccm kwa chadema kutosusia vikao........baadaye ccm walivyo wanafiki watasema mnaenda vp mahakamani wakati mnashiriki kwenye vikao na maamuzi yote muhimu..............haki sisi wana chadema tunapongeza maamuzi yao na tupo nyuma yao mpaka ccm na kikwete waelewe kuwa watz wa sasa sio wale wa kuburuzwa
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.
Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.
Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
madiwani wa chadema wakiongozwa na mbunge lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.
Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa ccm ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya kikwete.
Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
Ur slave,na unatumika, unazngua.Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.
Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.
Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
Huyu jamaa anajidai CDM lakini nimefatilia thread zake alizo anzisha naona katumwa...
Not enough jana ulikuja na thread ya ajabu ukashindwa kujenga hoja,mwisho ukaanza kusema et waenda kumwandalia mr maji,inaonekana wewe bila kuisema chadema siku haijatimia
kimsingi wewe ni mpotoshaji wa makusudi kabisa,
1.je una hakika koramu ilitimia?na kama ilitimia je ni ngapi?
2.Je wajua kanuni inasemaje?
Not enough jana ulikuja na thread ya ajabu ukashindwa kujenga hoja,mwisho ukaanza kusema et waenda kumwandalia mr maji,inaonekana wewe bila kuisema chadema siku haijatimia
kimsingi wewe ni mpotoshaji wa makusudi kabisa,
1.je una hakika koramu ilitimia?na kama ilitimia je ni ngapi?
2.Je wajua kanuni inasemaje?
Madiwani wa Chadema wakiongozwa na Mbunge Lema wanasusia vikao vya baraza la madiwani katika manispaa. Mara ya mwisho walisusia kikao cha budget and this was very wrong kwasababu decisions zinafanyika in their absence sababu tu koramu inakuwa imetimia.
Hii ni mbaya zaidi kuliko hata kuhudhuria kwasababu maamuzi yanaendelea kufanywa na madiwani wa CCM ambao hatuna imani nao. Nafahamu kuna baadhi ya madiwani wa chadema pia wao wenyewe hawapendi mgomo huu ila inakuwa ngumu kwenda kinyume na wenzao. Hii naifananisha na ile ya Zitto na wengine kuto unga mkono wabunge wa chadema kususia hotuba ya Kikwete.
Pls - kaeni chini muone ni vipi mnaweza peleka hii move ya Umeya kisheria na sio kususia vikao muhimu kwani mnatunyima haki yetu ya maendeleo.
Mkuu kabla hujajenga hoja fanya utafiti, column kwenye vikao vya madiwani haitimii kwa kucalculate percentage ya waliohudhuria, kolam inaangalia ni sehemu ngapi ya wajumbe imehudhuria na kwa hili la madiwani inatakiwa zaidi ya theluthi 2 yaani zaidi ya mbili ya tatu ya wajumbe au kwa lugha ya hisabati >2/3 ya wajumbe sasa kwa idadi ya madiwani wa Arusha madiwani 16 wa CDM wasipohudhuria kikao kinakuwa na CCM madiwani 17, TLP 1 jumla ni 18 sasa kwa hesabu zako 18 ni sehemu ngapi ya 34?. Halafu sema hiyo kolamu imetimiaje!Kwanza unatakiwa kujua jumla ya madiwani ni wangapi. CCM+CDM+TLP then koramu ni percentage gani.
Try to find out kikao cha budget madiwani wote waliohudhuria halafu utoe wmadiwani wetu wa CDM ndo utajua kama koramu ilitumia au la.