CHADEMA hakina dira wala uelekeo. Kimebaki chama cha kusubiri matukio Tu .Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Makonda aende kujibu maswali au wewe mjibujiCHADEMA hakina dira wala uelekeo. Kimebaki chama cha kusubiri matukio Tu .
Mheshimwa Msukuma kumbe na yeye ni CHADEMA. Ama kweli njaa mbaya.Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Watumishi wa umma waliotukanwa na Makonda nao ni sehemu ya hao watu million 40,kumtukana mtumishi moja au watano ni sawa na kutukana watumishi wote wa umma-kama bunge lipo kwa ajili ya wananchi kuna tatizo gani bunge kujadili suala hilo??? na ukichukulia Muhimili mwingine wa dola ambao ulitakiwa umuonye makonda haujafanya hivyo?
Kwa sababu yeye alionyesha kwamba ana matatizo na sisi, sasa acha kutaabika nasisi tunapotaka kumwosha kwamba yy ni moja ya tatizo letu!!Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Lazima tukampime MalindaKwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwani makonda aliitwa na chadema au na bunge? au siku hizi bunge ni la chadema?Hivyo ndivyo vyama vyetu vya Upinzani, vinaishi kwa Matukio!!! Tunawatengenezea tukio lingine soon!!
Mnatudhihirishia ni namna gani nyie ni hewa uko vichwaniKwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
hata wazee, WOTEFILE LA KESI YA JAMII FORUM MELIWEKA WAPI?
HALIONEKANI MAHAKAMAN SIJUI MAWAKILI WAMELIPELEKA WAPI? Duh tunakaz kweli kweli chini ya utawala huu wa ccm
Wewe liswela kweli wewe....unafikiri wote ni chademe wengine sisi ni yanga hatuna chama.Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?
Kwani uliyemtaja ni tatizo?Kwa maana sasa ni kila siku Makonda, hata Bungeni mnataka Makonda ajadiliwe, yaani Bunge la JMTZ linalowakilisha zaidi ya Watanzania milioni 40 wenye kila aina ya matatizo yanayaohitaji ufumbuzi, wakae muda wote kumjadili Makonda, ina maana Tanzania yetu matatizo yameisha?