tumewazoea nyie vijana mapandiki wa lumumba mitandaoni mnapewa sh ngapi??,
hamna hoja nyingine ni cdm tu??kwani cdm tu ndo chama kigonjwa??
kuna cuf, nccr na act-tanzania wape na hawa dose ili wapone basi,
alafu wanyime dose wagonjwa CDM ile wafe kama unavyotaka,
vinginevyo unawogopa CDM, kwa kuwa hujui ni kina nani tupo nyuma ya cdm, laiti ungelijua ungeliacha kupost utumbo kwa tsh 7000