utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Watakutukana na kusema wananunuliwa tu hao.Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Mkuu mbona kama unataka kutuaminisha kuwa hufurahi yanayoendelea huko CDMViongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Maiti imepigwa ganzi?!Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Daah wapambane na hali zaoViongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Naunga mkono,bora ufe uzaliwe mwingineMi nashauri upinzani ufe
Itapendeza zaidi
Wew Mwanaume Au Mwanamke Ndugu YanguMi nashauri upinzani ufe
Itapendeza zaidi
Umetumwa na mwenyekiti wenu mwenye frustration?Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.
Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
[emoji23] [emoji23] imepigwa ganzi inataka kufanyiwa post mortem.Maiti imepigwa ganzi?!
Mmechanganyikiwa kupita maelezo.
Yaaah![emoji23] [emoji23] imepigwa ganzi inataka kufanyiwa post mortem.