Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,630
- 287,366
Mungu ibariki CHADEMAHii ndio kauli iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa watu wote Duniani , kama ilivyosenwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .
Mrema amesema kwamba kwanza walitaka kupuuza uzushi huo , kwa sababu hauna maana wala ukweli wowote , lakini wanaona kwamba ili kuufunga mjadala huo wa kizushi kulikuwa na haja ya kutoa Ufafanuzi .
View attachment 2616949
==========
Kwahiyo wale wavimba macho wanaokesha na kutunga uchawi kuhusu Chadema mnapaswa kutafuta kazi nyingine , maana hii imekwishabuma .
Mungu ibariki Chadema .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ukisikia pap jua .....Hii ndio kauli iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa watu wote Duniani , kama ilivyosenwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .
Mrema amesema kwamba kwanza walitaka kupuuza uzushi huo , kwa sababu hauna maana wala ukweli wowote , lakini wanaona kwamba ili kuufunga mjadala huo wa kizushi kulikuwa na haja ya kutoa Ufafanuzi .
View attachment 2616949
==========
Kwahiyo wale wavimba macho wanaokesha na kutunga uchawi kuhusu Chadema mnapaswa kutafuta kazi nyingine , maana hii imekwishabuma .
Mungu ibariki Chadema .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mmebadili shutuma zenu tena !Hata kama hakuna mgogoro, lakini inaonekana wazi Lissu ameamua kujiendea na njia yake tofauti na wenzie.
They must deal with that internally, wakiendelea kumuacha aendelee kujiropokea kila aendako atatengeneza tatizo kubwa zaidi litakalokuwa gumu zaidi kulirekebisha, wasijidanganye kulea ugonjwa.
Mimi na nani? Shutuma zipi?
Usiruke ruke , Jibu swali , kwahiyo mgogoro hamna ila sasa ni njia tena ?Mimi na nani? Shutuma zipi?
Mimi sijanywa maji ya bendera ya Chadema kama wewe, kuna tofauti kubwa kifikra kati yetu.
Naunga mkono hoja, kuwa kwa sasa, Chadema bado hakuna mgogoro wowote, ila kwa siku zijazo, huu Moshi moshi wa Lissu, naofuka sasa, chini kuna moto!.Hii ndio kauli iliyotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa watu wote Duniani , kama ilivyosenwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho , John Mrema .
Mrema amesema kwamba kwanza walitaka kupuuza uzushi huo , kwa sababu hauna maana wala ukweli wowote , lakini wanaona kwamba ili kuufunga mjadala huo wa kizushi kulikuwa na haja ya kutoa Ufafanuzi .
View attachment 2616949
==========
Kwahiyo wale wavimba macho wanaokesha na kutunga uchawi kuhusu Chadema mnapaswa kutafuta kazi nyingine , maana hii imekwishabuma .
Mungu ibariki Chadema .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Katiba mpya,Maridhiano bila truth, Maridhiano bila kuwaondoa Covid Bungeni, Maridhiano bila kujua wale waliopotezwa wako wapi, Maridhiano bila kusema ni nani walimshambulia Lissu kwa risasi, huko sio kuropoka hata kidogo.kujiropokea
Sio kweli, Ile ni hulka ya Lissu, tuacheni kukuza mambo ambayo hayapphuu Moshi moshi wa Lissu, naofuka sasa, chini kuna moto!.
Wew babu ukae kwa kutulia kabisaa huna hoja ya maana zaidi ya kutetea tumbo lako.Naunga mkono hoja, kuwa kwa sasa, Chadema bado hakuna mgogoro wowote, ila kwa siku zijazo, huu Moshi moshi wa Lissu, naofuka sasa, chini kuna moto!.
Kwa vile ni mimi nilishauri Lissu agombee na JPM ile 2020, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!, huo uwezo wa Lissu nilio uzungumza, kuwa anao, asipodhibitiwa mapema, uwezo huo, mbele ya safari, utakuja kuwa..., utawasumbua!.
P