R.Lewis
Member
- Sep 25, 2009
- 14
- 4
Kuhusu katiba na mchakato wake naamini kila kiumbe alielewa serikali ya CCM na kikwete ingefanya, na wamefanya walivyo tarajiwa, kinacho sikiticha ni CDM wanavyoonekana wakitapatapa, hawakua na plan kabisa mara watoke inje ya bunge, mara waombe kuongea kuongea na mtu aliye plan na kuandaa mchakato mzima pamoja na kuwatwisti mikono wachemkaji wa CCM mpaka wakapitisha, kutaka kuongea nae walikua wanategemea nini zaidi yakumpa tu ujiko, yaani asisaini wakati yeye na serikali yake Ndio wamelaipitishwe atawaambia nini wabunge wake