CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

R.i.p = mtatiro

rest in peace mtatiro in political platform

politics is dangerous game,leave it to politicians.

Propaganda is part of politics.
 
Kwani CUF si ilishakufa zamani mbona?

Nashangaa kabisa kusikia eti mpaka CUF ife,mara ngapi?mbona imeshatutoka siku nyingi kwenye
vichwa vya watanzania!!!!!
 
Juli habari za siku nyingi, ndio anataka kurudi kwa style hio? Mmhhh yaani wote waliorudi ni CUF tu? Poor Juli
 
Kweli mme wa mtu sumu.
Cuf wameona ndoa iko mashakani,wanataka kuilinda.
 
Huyu ni mke mzuri anayemtetea mumewe, anayetaka mumewe azidi kutawala kila siku. nakumbuka ule wimbo "kuona ni jambo la sifa..."
 
DADA HUYO AMEOLEWA, DADA HUYO AMEOLEWA, MAAALI ISHATOLEWA, MAAALI ISHATOLEWA. Cuf hawana jipya wanaona jinsi wanavyopigwa wamebakia kusasambua tu.
 
Bado asubuhi nikianza matusi sa hz ntaharibu siku ila ntarudi jion kwa aliyemgusa dr slaa
 
Chama cha wananchi CUF kimesema CHADEMA hakitoingia ikulu CUF ikiwa hai, hayo yamesemwa na naibu katibu mkuu Tanzania bara Jullius Mtatiro.Alisema CUF imenyaka nyaraka za siri za Chadema zinazoonyesha jinsi CHADEMA kilivyowanunua baadhi ya wanachama wake ktk operation (M4C) yake iliyofanyika maeneo mbali mbali.

Source:Gazeti la Mtanzania.

Maoni yangu; Kama CUF wanao ushahidi wa kutosha ni kwa nini wasiuweke wazi kila mtu aone ukweli wa maneno yao? Kubaki kusema tu ktk vyombo vya habari bila kuweka wazi tutayapuuzia maneno Yao,japo wapo watakaoamini.

Mtatiro anasema kweli kwa sababu already CUF is on its death bed!! wamekosea kusponsor mkakati wa UAMSHO kuigawa Zanzibar vipande Unguja na Pemba na kumfukuza Hamad Rashid Mohamed. Dhambi hiyo lazima iitafune CUF mpaka kaburini, no wonder the surge of M4C mikoa ya kusini, asome remarks za Bernard Membe aliyeshuhudia moto wa M4C kwa macho yake mwenyewe, Julius Mtatiro anashindwa kujenga hoja anakwida watu mashati ataizuiaje CDM na M4C banaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
chama cha wananchi cuf kimesema chadema hakitoingia ikulu cuf ikiwa hai, hayo yamesemwa na naibu katibu mkuu tanzania bara jullius mtatiro.alisema cuf imenyaka nyaraka za siri za chadema zinazoonyesha jinsi chadema kilivyowanunua baadhi ya wanachama wake ktk operation (m4c) yake iliyofanyika maeneo mbali mbali.

Source:gazeti la mtanzania.

Maoni yangu; kama cuf wanao ushahidi wa kutosha ni kwa nini wasiuweke wazi kila mtu aone ukweli wa maneno yao? Kubaki kusema tu ktk vyombo vya habari bila kuweka wazi tutayapuuzia maneno yao,japo wapo watakaoamini.

hata bila ya msaada wa cuf cdm kamwe haitakaa madarakani.. Cdm wanajizika wenyewe kwa siasa za kikanda na kikabila
 
Back
Top Bottom