CHADEMA na CUF wana matatizo yanayofanana sana,Hawataki kufanya MAINSTREAM POLITICS kama wanavyofanya wenzao wa CCM.As much as i like to see Opposition Parties taking over the White House in 2015 but i can't see that happening,Really!Bado sijaona political advisers wazuri wala political strategists wazuri wa hivi Vyama kwakweli.Jambo moja muhimu ambalo ningependa kuwakumbusha Wapenzi wa hivi Vyama vya CUF na CHADEMA kwamba kama lisipofanyiwa kazi basi wataendelea kuitwa Vyama vya Upinzani daima.Waunde safu zao za Uongozi zikiwa na sura za kiTaifa,At least kuwe uwiano.CUF walianza vizuri sana kwa kuwa na Mwenyekiti Taifa James Mapalala (Mkristu),Lakini baadaye tangu walipomtimua Mapalala hakuna Mkristu aliyewahi kushika Nafasi ya Uenyekiti au Ukatibu Mkuu.CHADEMA nao halidhalika ni hivyo hivyo,Waislam huishia kushikilia Unaibu au Umakamu turn,Hii huchangia kwa hivi Vyama kutoaminika na Waumini wa hizi Imani mbili kubwa hapa nchini.Hakuna Chama kitakachoshinda 2015 kwa kutegemea kura za Wakristu au Waislam tu.