CHADEMA haiweki mgombea JIMBO la KIEMBESAMAKI?

CHADEMA haiweki mgombea JIMBO la KIEMBESAMAKI?

Status
Not open for further replies.
CHADEMA utapeli wao umefikia ukingoni Kabisa, wanadhani Tanzania ni ARUSHA tu!

Kweli nazidi Kuamini unauwezo wakufikiri kwani Arusha au kasikazini kuna wabunge wangapi wa chadema? Ukijua ilo najua utagundua we'nimpuuzi wakutupwa.
 
Kweli nazidi Kuamini unauwezo wakufikiri kwani Arusha au kasikazini kuna wabunge wangapi wa chadema? Ukijua ilo najua utagundua we'nimpuuzi wakutupwa.

Mkuu hawa wafuasi wa CCM wako Kama wamekatwa vichwa na thinking capacity zao ziko impared
 
Ndugu wanajamvi!
Kutokana na kuachishwa uanachama Ndugu Mansoor Yussuf Himid aliyekuwa muwakilishi wa jimbo la KIEMBESAMAKI, JIMBO hilo li wazi kwa sasa. na CCM tayari wameshamteua ndugu Mahmood Thabit Kombo kuwa mgombea ubunge jimbo la kiembesamaki. Vipi watani wetu wa jadi bado hawajateua mtu atakayesimamisha bendera ya CHADEMA kiembesamaki? au wao wamejikita kwenye udiwani SOMBETINI tu?

It is not a big a deal... CUF hawakuweka Mgombea UKEREWE
 
Ndugu, Naamini moyo wako una utu. CCM wamemfukuza muwakilishi wao, uchaguzi umetangazwa fastafasta. CHADEMA wakifukuza mtu ama mahakama izuie ama ikiruhusu basi uchaguzi mpaka makelele yapigwe! Hivi kweli unaona halali bei za umeme kupanda mara dufu ni sawa? sisi ambao hatuna upande tunaumia sana kuwaona ninyi mnaoshabikia maslahi binafsi. Hivi kweli kwako wewe kati ya CCM na TANZANIA ungependa kipi? kama CHADEMA kinachowakosoa mnakisakama hivyo hivi kweli mkifaulu kuua upinzani kama mnavyotaka SI MTA-TU-NYE-A vichwani na tusiwe na pa kukimbilia? hebu kumbuka babu na wajomba wako wanavyoteseka kijijini na huku mjini mko busy kuaribu na kuuza rasilimali ambazo angalau zingewasaidia kupeleka maji vijijini. samahani lakini huwa nawsashangaa sana.

Sasa mkiwafukuza wanakimbilia mahakamani wenyewe na wa CCM wakifukuzwa wanakaa kimya. Wafukuzeni kwa haki utaona tofauti
 
Matawi (makanisa) hayapo huko kiembesamaki tunakwenda sombetini na kalenga
 
CHADEMA na CUF wana matatizo yanayofanana sana,Hawataki kufanya MAINSTREAM POLITICS kama wanavyofanya wenzao wa CCM.As much as i like to see Opposition Parties taking over the White House in 2015 but i can't see that happening,Really!Bado sijaona political advisers wazuri wala political strategists wazuri wa hivi Vyama kwakweli.Jambo moja muhimu ambalo ningependa kuwakumbusha Wapenzi wa hivi Vyama vya CUF na CHADEMA kwamba kama lisipofanyiwa kazi basi wataendelea kuitwa Vyama vya Upinzani daima.Waunde safu zao za Uongozi zikiwa na sura za kiTaifa,At least kuwe uwiano.CUF walianza vizuri sana kwa kuwa na Mwenyekiti Taifa James Mapalala (Mkristu),Lakini baadaye tangu walipomtimua Mapalala hakuna Mkristu aliyewahi kushika Nafasi ya Uenyekiti au Ukatibu Mkuu.CHADEMA nao halidhalika ni hivyo hivyo,Waislam huishia kushikilia Unaibu au Umakamu turn,Hii huchangia kwa hivi Vyama kutoaminika na Waumini wa hizi Imani mbili kubwa hapa nchini.Hakuna Chama kitakachoshinda 2015 kwa kutegemea kura za Wakristu au Waislam tu.
 
CCM hakuna lolote sombetini walikosa m2 zaidi ya mara tatu hukuongea pia kwenye jimbo la babu nyani walikosa mgombea mpaka wakambambikia kesi m2 wa wa2 hamkuonge unapiga debe kisa chadema haija sema nan anagombea mwehu kwel jipange upya
 
sasa chadema kusimamisha mgombea zanzibar si kama vile kumwaga chozi baharini.,
 
Ww kinachakuwasha ni nn kama nyie mmeweka kinachakuwasha ni nn? Au ww ni 0654 my nn
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom