CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

Kongamano

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
42
Reaction score
8
Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini, Bwana Rojas Ruhega, na katibu chama hicho jimbo hilo, wameanza harakati za kujivua uanachama wa chama hicho ili wajiunge na chama kingine cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu.

Wanachosubiri ni maamuzi ya utatuzi wa migogoro. Kama hawatatendewa haki watahamia ACT Wazalendo.
Rojas anadai amewasiliana na viongozi wa ACT na wanamtarajia sana kwani itakuwa tiketi nzuri sana kwa ushindi wao jimbo la mjini

Bwana Rojas anausubiri uongozi wa chama hicho taifa ufike Geita ili ajiengue na kuhamia ACT. Hakuna Chadema Geita, tena wanaelekea kuzimu.
 
Chadema ni taasisi na sio Rojas😛
Utaratibu wote wa kumpata mgombea wa Geita utafuata taratibu zote za kichama na mshindi atapatikana kihalali
 
Kwakusemahivyo haimanishi ndio wamesambaratika nimaneno ambayo hata kwenyekanga yamo
 
kwani chadema wameshatangaza wagombea..??? eti "aliyekuwa mgombea ubunge" Pathetic
 
Hata Ayatullah alivyoondoka mlisema CHADEMA yasambaratika lakini leo tunaona Ayatullah ndiyo amesambaratika. Kile kikundi anachokiita chama kimepotelea kusikojulikana!
 
Bw. Rojas ruhegwa shida yake ni ubunge na siyo kuwakomboa wananchi na anatumia vitisho kupata anachotaka hii ni hatari wananchama kama hatuwaitaji ni bora kumuacha aende zake kwa watu wanaokubali watu wasio na nidhamu huko ACT kila la heri watu wa ACT na mgombea wenu rojas
 
Mleta mada namjua,alitoroka milembe na baba yake ni kada wa ccm.
 
Geita kuna watia nia wengi sana.......
Japhet Maganga, Upendo Peneza, n.k. Kwa Chadema............................. Kazi anayo.
Greyson Nyakaguru alishatia nia kwa Upande wa ACT.... Labda akawe meneja Kampeni wa ACT.
 
Watu dhaifu chadema hawatakiwi na aondoke tu, afike salama.
 
haiwezi kutokea na haitatokea Rogers luhega ninaemjua mimi aende ACT huyomtoa maada tunamfaham ni mke wa MANGILIMA nahisi katumwa na mmewe maana tangu asimamishwe uongozi wa jimbo hapati tena posho kutoka kwa mmewe wengine waliolewa na MISALABA baada ya posho kuisha waliham
 
Back
Top Bottom