Chadema funika bovu uchaguzi wa diwani Songea

skendo

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
212
Reaction score
102
Nipo kwenyemkutano wa cdm wa kumnadi mgombea wa udiwani.sio sili watu ni wengi na mda huu sadaka ya ukombozi ndio imetoka changishwa watu ni wengi vibaya mno.Zitto anatalajiwa kuongeza nguvu ifikapo tarehe 28.
 
Attachments

  • Cdm.3.jpg
    Cdm.3.jpg
    225.1 KB · Views: 128
  • Cdm.7.jpg
    Cdm.7.jpg
    120.1 KB · Views: 129
  • Cdm.5.jpg
    Cdm.5.jpg
    117.9 KB · Views: 193
  • Cdm.4.jpg
    Cdm.4.jpg
    152.8 KB · Views: 169
Zito atakuja kuongeza wajumbe wasio wachaga katika harakati za kuwania kushika bendera ya CDM 2012, endeleeni kumlipia gharama zake.
 
CCM Zitto anawawasha kisasawa
 
Zito atakuja kuongeza wajumbe wasio wachaga katika harakati za kuwania kushika bendera ya CDM 2012, endeleeni kumlipia gharama zake.

safari tumewashika hamchomoki...
 
Safi sana,siku zote 2naanza na Mungu na kumaliza na Mungu
 
Huu mchwa chadema umeingilia nyumba ya ccm sehemu mbaya sana'sijui kama wataweza kuwahi kuthibiti kabla haujaingusha hii nyumba!
 
Zito atakuja kuongeza wajumbe wasio wachaga katika harakati za kuwania kushika bendera ya CDM 2012, endeleeni kumlipia gharama zake.

huna tofauti na avatar yako
 
CDM mnacheza, you are already divided.
Zitto ni wetu CCM.
Tunafanya naye mikutano ya ndani.
Tunapanga naye mikakati ya kuiangamiza Chadema.
Juzi tulikuwa naye kwenye strategy ya kumchafua Dr.Salaa kwenye mitandao.
Mambo mengi ya Dr.slaa juu ya uendeshaji wa makao makuu CDM alitupatia Zitto.

CDM NOTE WELL: Whether you like or not Zitto Zuberi Kabwe ni CCM damu, ni mfanyakazi wa CCM, yupo kwenye pay roll ya CCM.

Mwisho wa CDM unakaribia! wait and see!
 
Zito atakuja kuongeza wajumbe wasio wachaga katika harakati za kuwania kushika bendera ya CDM 2012, endeleeni kumlipia gharama zake.

Nanyi endeleeni kufadhiliwa na mafisadi, ila sadaka ya ukombozi haitakufa.
 
CDM mnacheza, you are already divided.
Zitto ni wetu CCM.
Tunafanya naye mikutano ya ndani.
Tunapanga naye mikakati ya kuiangamiza Chadema.
Juzi tulikuwa naye kwenye strategy ya kumchafua Dr.Salaa kwenye mitandao.
Mambo mengi ya Dr.slaa juu ya uendeshaji wa makao makuu CDM alitupatia Zitto.

CDM NOTE WELL: Whether you like or not Zitto Zuberi Kabwe ni CCM damu, ni mfanyakazi wa CCM, yupo kwenye pay roll ya CCM.

Mwisho wa CDM unakaribia! wait and see!

Kwa hiyo na wewe ni mwanaCCM lakini ni CDM damu maana naona imeshauza siri tayari za vikao vyenu!!!!!!
 
juzi nilikuwa katika semina ya Management information system iliyoandaliwa na wizara ya maji; nilikutana na wahasibu na wahandisi toka sehemu mbalimbali ya tanzania ndipo nilipojua kuwa watumishi wa umma wengi ni CDM. salamu yetu ilikuwa pipoz
 
Kwa hiyo na wewe ni mwanaCCM lakini ni CDM damu maana naona imeshauza siri tayari za vikao vyenu!!!!!!

kaka wanajisahau sana hao, hapa ni great thinker great ,huo ujinga wao wapeleke huko huko facebook
 
Back
Top Bottom