CHADEMA fuatilieni suala la Uadilifu kwa Wagombea

CHADEMA fuatilieni suala la Uadilifu kwa Wagombea

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,428
Reaction score
15,225
Mimi kwa bahati nzuri nina course ya kuwatambua wahalifu. Nimefuatilia mchakato wa Uteuzi ulivyoanza mpaka unaisha.

Tumeingia kwenye Mtego ule ule wa Joshua Nassari kufanya makosa ambayo anayajua adhabu yake.

Ukitazama kwa Umakini unagundua kuwa maeneo ambayo wagombea wamepita bila kupingwa si maeneo Shindani.

Kwanini Majimbo ambayo yana Ushindani mkubwa watu hawajakamtwa au kuonekana na makosa madogo madogo?

Haya majimbo ambayo watu wamepita bila kupingwa na hayana upinzani sana Kuna uwezekano watu wamejitoa kwa staili ambayo itawaweka salama na Kupata chochote kwa sababu hata wakigombea hawatapata chochote.
 
..labda wahusika wanataka kushinda mara ya kwanza wanapojaribu.

..lakini kwa mpinzani kushinda ubunge, wakati mwingine lazima ujaribu mara ya kwanza, halafu unashinda uchaguzi unaofuatia.

..Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Godbless Lema, Peter Msigwa, Naghenjwa Kaboyoka,...walishindwa walipogombea ubunge mara ya kwanza.
 
Ni vigumu kujua nani ni nani,hawajafuata ukombozi wamefuata pesa.Wapinzani wenye nia thabiti wenye uwezo wa kutetea kile wanachoamini sio wengi kwenye kinyanganyiro. Siku zijazo utajajua wapo watu wanaotumia upinzani kama biashara ya utumwa.
 
Mwenyewe nimepata picha kama hii hii kwa kusikia sarakasi za leo.
 
Mwenyewe nimepata picha kama hii hii kwa kusikia sarakasi za leo.
usiingizwe chaka na huyo mamluki wa ccm , ni kapuku anayeishi kwa kulamba miguu ya viongozi wa ccm kwa porojo za kijinga humu jf , asikupoteze .
 
Ni vigumu kujua nani ni nani,hawajafuata ukombozi wamefuata pesa.Wapinzani wenye nia thabiti wenye uwezo wa kutetea kile wanachoamini sio wengi kwenye kinyanganyiro.
Siku zijazo utajajua wapo watu wanaotumia upinzani kama biashara ya utumwa.
Sasa mbona mmetutangazia mnachukua nchi kumbe hata askari watiifu hamna.Kipigo cha kushindwa vibaya kinawahusu
 
usiingizwe chaka na huyo mamluki wa ccm , ni kapuku anayeishi kwa kulamba miguu ya viongozi wa ccm kwa porojo za kijinga humu jf , asikupoteze .
Acheni Ubabaishaji mnachosha watu
 
Back
Top Bottom