manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Magufuli Pombe Joseph amekuja na aina ya utawala ambao wengi walioamini CCM ni ile ile hawakutegemea.
Amechukua hoja zilizopigiwa kelele kwa mda mrefu na CHADEMA na wananchi kwa ujumla na kuzifanyia kazi. Mwanzoni CHADEMA waliibuka na kusema alikuwa anatekekeza Sera zangu, kwangu it was a nice political move, lkn ghafla wakaanza tena kupinga kile walichokuwa wamesema ni chao jambo linaloonekana sasa kuwaweka mbali na wadanganyika maana wao wanaona Magufuli yupo sahihi.
Sasa Mimi ushauri wangu kwa CHADEMA ili kuendana na political manuvering za Pombe warudi kwenye hoja yao ile kwamba Pombe anatekeleza ilani yao ila wajenge hoja kwamba namna anavyolifanya sivyo linavotakiwa kufanyika na waoneshe wao wangelifanya vipi ili wananchi wapate fulsa ya kulinganisha.
Ni hayo tu!