CHADEMA, familia ya Lissu na TLS rudini mezani upya

Sijui Mbowe anajisikiaje anavyomuona Lissu anarecover kwa kasi ya ajabu,nadhani alikuwa hajui kama Mungu pekee ndie anatoa na kutwaa
Thibitisha hili kwa kuruhusu Scotland yards wafanye kazi hii, unatuhumu huku hamtaki uchunguzi huru
 
Yafadhiliwe na serikali wakat huo wanaficha atapelekwa nchi gani baada ya nairobi, wakat huo wanaishutumu serikali, akiri kidogo uwe unatumia.
 
Yafadhiliwe na serikali wakat huo wanaficha atapelekwa nchi gani baada ya nairobi, wakat huo wanaishutumu serikali, akiri kidogo uwe unatumia.
Hujui chochote bendera fuata upepo,subiri utatangaziwa utaratibu utanywea
 
Wanakaa nyuma ya familia kama ambavyo filia ilikaa nyuma ya Chadema,kea maana ya matamko na maamuzi tu,bado wamesema watashiriki katika kila kitu na kuishauri familia.
 
I agree, Lissu na mali ya watz, pale kwenye familia kuna kakaake moja ni mwanachama wa chama cha mauaji aka ccm, binafsi simwamini nguruwe yeyote frm ccm
 
Una ushahidi gani au we naye jinga lao tu
 
CDM hawawezi fanya kosa la kitoto hivyo, security itabakia jukumu la chama 100%. Familia ni update ya mgonjwa na mambo mengine ya kifamilia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…