CHADEMA, familia ya Lissu na TLS rudini mezani upya

Hamna cha aibu wala nini. Kesho tunaanza kukarabati banda letu la ufipa.
Tangu lini umekuwa kibarua wa mafundi ufipa? Hapo ndipo chadema wamepiga bao mpira uliopigwa kwa chogo.Mbafuuuu, mnataka office ya nini, waambieni mateja wenu wafukue sana uchafu km kuna ndoo yenye chochote ktk hiyo dampo.
 
Hujui kuwa mimi ni kamanda?
 
Hivi Lissu alindwe ana nini, na ni nani katika nchi hii? Au kwa vile ameolewa na acacia?
 
Mkuu hta ungekuwa wewe Kikao walichokifanya Familia ya Lisu na Serikali unaitafakari vipi? au nini hatima ya Chadema? Kwa ukweli Chadema na wadau wote did their best level mpaka hapa palipofikia mpaka watu wanabubujikwa na machozi kumuona Mh Lisu live and waving to Tanzanian and Friends,. But what was the motive behind kikao cha Familia na Serikali... Chadema through Mbowe should leave kila kitu kwenye mikono ya Familia now.@ Yeriko Nyerere
Big NOOOO! I concur with Nyerere. Ni mapema sana kuiachia familia kazi ya awamu ya pili ya matibabu ya Lissu (rehabilitation). Hata hivyo nina imani kuwa Chadema wamezingatia yote walipofanya maamuzi hayo!
 
Ahsante kwa ushauri mzuri lakini mimi nazani haitoshi kuandika hapa. Wew unanafasi kubwa ya kuonana na viongozi wa juu. Naomba ukae nao na kuwashauri hili jambo.
 
Ahsante kwa ushauri mzuri lakini mimi nazani haitoshi kuandika hapa. Wew unanafasi kubwa ya kuonana na viongozi wa juu. Naomba ukae nao na kuwashauri hili jambo.
 
Yericko Nyerere,

Lissu hawezi kuachwa na CHADEMA ktk hatua yoyote hata pale atakapotua Airport ama hata kwa njia ya barabara tu kurudi nyumbani....

Lissu ndiye hasa nyundo ya kuiua CCM. Mbowe anajua, watanzania tunajua na hata Magufuli na mwanae Bashite wanajua...

Otherwise, umeeleweka vyema sana mkuu na kiuhalisia huo ndiyo ukweli.

Ukiniuliza mimi swali moja tu juu ya usalama wa Tundu Lissu, nitakujibu hivi..

Lazaro Nyalandu ni mtu wa kumchunga sana. Most likely, ndiye anayetumiwa na wauaji kutaka kummalizia Lissu wa watanzania..!!

He should be watched very carefully.....
 
Una akili sana Yericko.Ulinzi anaotakiwa apewe lissu sasa hivi atakapotoka unatakiwa use zaidi.mbona chadema wanavijana wengi tu mahiri sana,kama yule bingwa wa taekwondo tanzania, nilitegemea mpaka sasa vijana kadhaa wangekuwa wamepelekwa nje kuchukua mafunzo ya juu ya ulinzi.Lissu ni zaidi ya lulu.alindwe kwa gharama zozote
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom