Elections 2010 Chadema Dream Team

Ee bwana hiyo timu labda ya mechi ya kirafiki. Kama ni ya kutafuta point haiwezekani Tundu Lisu asiwemo. Irekebishe mkuu!
 
Mimi naona Tundu Lissu ambaye hukumuweka kwenye hii list atakuwa kinara wa mabadiliko katika bunge linalokuja. Ni intellectual activist na haogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…