CHADEMA Digital yaingia Rungwe, Nakiri wazi sijawahi kusikia hotuba kabambe ya John Mrema kama hii ya leo

Naona uchungu ktk nyuso za hadhira ya wana CHADEMA wanaosikiliza hotuba hii ukumbini na sisi tunaosikiliza ktk mfumo wa digital pia hotuba hii tumeikubali na kuielewa kama wenzetu wa huko Rungwe.
 
Huyo Mrema bure kabisa. Anabebwa bebwa hapo Chadema kwasababu ya uchagga wake na kuwa kipenzi cha mungu mbowe.

Nikidhani wakati wa uchaguzi wa 2020 alipokatwa yule aliyeshinda kura za maoni Kigamboni akawekwa Mrema ndio basi,

Kumbe bado deal za safari za kula ruzuku, michango na misaada anaprwa kijana Mrema wa mungu mbowe.

Wajinga ndio waliwao.
 
Naona uchungu ktk nyuso za hadhira ya wana CHADEMA wanaosikiliza hotuba hii ukumbini na sisi tunaosikiliza ktk mfumo wa digital pia hotuba hii tumeikubali na kuielewa kama wenzetu wa huko Rungwe.
Mkuu hii hotuba ni kabambe sana
 
Katika hiyo hotuba Mrema amesema na nanukuu"Mtume Muhammad (SAW) alisalitiwa na masahaba wake"
Just curious usaliti huo ulitokea lini na wapi na kwa ushahidi gani?
 
unataka kutafuniwa kila kitu !
 
Yesu tulitajiwa alisalitiwa na Yuda hilo linajulikana kwenye Biblia..Mtume Muhammad (SAW) tunaambiwa alisalitiwa na masahaba !! Masahaba ni wafuasi wake wa kwanza sasa swali ni majina ya hao waliomsaliti .Sweeping statetments za uzushi hazitasaidia.Nataka facts kwani sira ya Mtume Muhammad (SAW ) inajulikana.
 
Kuhangaika na Mamluki kama wewe ni kupoteza muda
 
Huwezi moto kimbia .Majibu muflis ya kuitana majina ni dalili ya kufilisika kihoja.Unapokuja na hoja za kizushi ujue watu watakuuliza maswali.Huwezi kuyajibu kimbilia matusi.Ndio uwezo wako .
 
Endelea na Mamluki wenzako , mimi wa kutukana ! waulize waliokutuma
 
Mamluki kwenu sio tusi au hujui maana yake?Inawezekana namhukumu mtu huku hajui analosema.Wewe huwa unatumwa?Ukiona mtu anaji defend kwa neno na neno analotumia jua basi kazoea kutumwa.
 
Duh kweli chadema mmepungukiwa na watu,yani hadi hiyo hotuba ndio bora kwako?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom