CHADEMA: Dar mpaka DC funika mbaya

Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.

Shirikisha ubongo wako katika kufikiri!
kwa hiyo ulitegemea watu wote watakao-hudhuria leo, ambao ni zaidi ya watu elf 10 wakae kwenye viti?! kwani hiyo ni harusi?! After all, bado ni saa saba, acha kuwashwa gamba wewe, subiri ifike saa 9 ndo uandike huo utumbo wako.
 
Huu ni Uzushi sisi wabeba mabox hatutoenda huko Box atalifanya nani .. na rent tutalipaje, watakaoenda huko kupoteza muda ni wale wale wachache..ndio maana wanawahonga bia na msosi maana hamna atakae enda huko...
 
Jamani 2pien picha kwan c wengne,tanesco tayar wamefanya mambo yao ya kanawaka na kuzima,wanadai mgao haujaisha.
 
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.
Upo? mwaka huu mtaungua magonjwa ya moyo...nakushauri uhame kwani CCM ni ukoo wenu? maana kama ni dini,timu, kabila watu wana hama mfano Lowasa alihama kabila......
 
Kifo kinapomkuta mtu siku zote hukifuata yeye mwenyewe,kinachojiri hivi sasa ni anguko la CCM amabalo chanzo chake ni ombwe la uongozi na kuto thamini kuwa cheo ni dhamana.

Chonde chonde CDM, M4C ilete tija ikiwa ni pamoja na kuongeza umakini kwa wa magamba wanaojikwangua ili kuvaa gwanda maana kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo.
 
Huu ni Uzushi sisi wabeba mabox hatutoenda huko Box atalifanya nani .. na rent tutalipaje, watakaoenda huko kupoteza muda ni wale wale wachache..ndio maana wanawahonga bia na msosi maana hamna atakae enda huko...
Pole sana naona bado uko usingizini...
 
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.

Aisee una kichwa kigumu kweli! We umeambiwa washington dc halafu unazungumzia jangwani! ........ Mwalimu wako ana kazi!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…