Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000. pamoja na mkutano huo makamanda hao watafungua tawi la Chadema kwa kushirikiana na jumuiya ya watanzania wanaoishi Marekani, nikiongea na Kamanda Nasari alisema "we want them to be involved in social economical and political affairs eg katiba mpya." wengi wanatarajiwa kuvua magamba na kuvalishwa magwanda huko huko.
Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.
Habari inaeleweka vizuri sana.Mbona ueleweki kijana DC Msigwa ndiyo wapi?
Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000. pamoja na mkutano huo makamanda hao watafungua tawi la Chadema kwa kushirikiana na jumuiya ya watanzania wanaoishi Marekani, nikiongea na Kamanda Nasari alisema "we want them to be involved in social economical and political affairs eg katiba mpya." wengi wanatarajiwa kuvua magamba na kuvalishwa magwanda huko huko.
Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.
Mbona ueleweki kijana DC Msigwa ndiyo wapi?
Kuna makamanda pale jangwani naamini hawatatuangusha...juzi kwenye kesi ya John Mnyika wametutendea haki naamini na leo watatutendea haki....
Tunashukuru kwa wewe kuwa mmojawapo wa watu kupita hapo,unadhani watu wanafikaje?Ni kama ulivyofanya wewe!Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.
Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.