Nimefurahishwa nilipodokezwa na rafiki yangu wa Chadema kuwa kuna mazungumzo yanaendelea ili vyama vyote nilivyotaja vizunguke nchi nzima kuhutubia mikutano ya hadhara kuhusu operation "uwajibikaji". Watakuwa wanawaeleza watanzania jinsi nchi inavyoliwa na watatafuta mamilioni ya sahihi za wananchi za kutaka JK aachie ngazi kwa kushindwa kuwawajibisha mafisadi. Ikifanikiwa hii itakuwa na athari kubwa kwa CCM na ndio mwanzo wa vyama hivi kushirikiana kuwaondoa CCM 2015
Imekaa vema ila nilikuwa na wasiwasi kama mzee wa kiraracha atakubali!! pamoja na kwamba leo Bungeni amejikakamua sana...
Kila la kheri
so mtu akitaka kukabidhi kadi ya ccm atamkabidhi nani na kujiunga chama kipi?
Bukanga, wewe ni wa moshi nini?? cause ilo jina huku moshi ndotunavyo muitaga. au jina lingine shamukwale.
Naunga mkono hoja makamanda,ila TLP ichangie nusu ya expenditure.
Hii ninaipinga.CDM kuweni makini sana.Watanzania wameshawaamini nyie acheni kushirikiana na matawi ya magamba.Hivi mtashirikiana na CUF halafu iweje?? Inaingia akilini kweli??