CHADEMA chatoa ushahidi kuhusiana na Green Guard

Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

Sasa majambazi yanafanya nini mtaani? Majambazi yao jela. Mkiambiwa rais na serikali ni dhaifu mnakataa, wakati huohuo unaleta ushahidi kuthibitisha udhaifu huo. Mtu yeyote anayetetea serikali na CCM is morally wrong. And you know it. Ni maslahi binafsi tu yanawasukuma.
 
nyie ni chama cha mafisadi sio?next jua chadema ni tayasisi si mtu
 
CHADEMA ni chama cha wavuta bangi tu. Ukianzia na Wabunge wake mpaka Red Brigade yao wanayotaka kuanzisha.

Usiwadharau CHADEMA, mimi nadhani wana hoja nzuri. Kwanza bila wao tusingepata ufahamu kuhusu Green Guards, nani aliyekuwa anajua kama CCM wana makambi ya kijeshi?. kwa hili CHADEMA wamewaamsha watanzania waliokuwa hawajui kabisa kuhusu hii GG.
 
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

Akili ndogo at work! Hata waliotokea kuwa magaidi hatari ulimwenguni walianzia katika hatua ya chipukizi, wakawa wanalishwa itikadi katika hatua zao zote za ukuaji hatimaye anafuzu akiwa katika hatua ya ujana. Na hicho ndicho kinachokea kwa CCM na Green Guard yake.
Kwa nini mnapata kigugumizi ya kuishauri serikali ya CCM kuvunja hivi vikosi vyote ikianzia na kikosi kongwe cha Green Guard? Badala yake mnapiga propaganda ya Red Brigade? Wananchi wa kawaida hatuna haja na hivi vikosi vinavyomilikwa na vyama vya kisiasa, tunataka ulinzi na usalama wa raia ufanywe na jeshi la polisi lenye weledi na maadili sahihi. Hizi propaganda ya CCM haisaidii chochote zaidi ya kupropagate hasira ya wananchi dhidi ya mambo haya ya vyama vya siasa kumiliki vikosi vya ulinzi na jeshi la polisi kwenda likizo ya kulinda usalama wa raia wasio wanaCCM.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

acha uongo afunzo hajaanza hao watu unaowataja wamekusanywa wametoka wapi
 
well spoken mkuu. kula like yangu.. in short kweli wengi hatukuijua GG. serikali iache kigugumizi lazima ili kundi la kigaid livunjwe. kwan chadema wamefanya hadharani o.w wangefanya kwa siri bila notification tz ingechimbika
 
Terrorist Organization Profile:

Red Brigades
Mothertongue Name: Brigate Rosse (BR)
Aliases: Armed Communist Combatants, Italian Red Brigade, Red Regiments
Bases of Operation: n/a
Date Formed: 1969
Strength: Group is inactive
Classifications: Communist/Socialist
Financial Sources: Unknown
Founding Philosophy: The Red Brigades were founded on rigidly Marxist-Leninist principles. This radical leftist group advocated violence in the pursuit of class warfare. Concentrated in Italy, the Red Brigades targeted businessmen and politicians and were a notable terrorist threat in Italy during the 1970s and early 1980s. Due to developments during its existence, the Red Brigades took on some qualities of anarchist groups while still propagating its especially virulent and violent Communist philosophy. In the end, the Red Brigades' increasingly brutal attacks eroded the support of those sympathetic with the group's Communist ideals.
Current Goals: In April 1984, four of the Red Brigades' key leaders wrote a communique from their jail cells. In the open letter, the leaders proclaimed further armed combat as futile. The Red Brigades essentially ceased to exist with this letter. In their words, "The international conditions that made this struggle possible no longer exist." (Xavier Raufer, "The Red Brigades: Farewell to Arms," Studies in Conflict and Terrorism, 1993, Vol.16)
However, the legacy of the Red Brigades continues to this day. Following the release of this letter, two splinter groups broke off from the Red Brigades: the New Red Brigades/Communist Combatant Party (BR/PCC) and the Red Brigades/Union of Combatant Communists (BR/UCC). The BR/PCC specifically has chosen to continue in the ideological and violent path of the Red Brigades.
IQ Ndogo shida kweli.
 
CHADEMA ni chama cha wavuta bangi tu. Ukianzia na Wabunge wake mpaka Red Brigade yao wanayotaka kuanzisha.

Kumbe ni wateja wazuri wa ile biashara nzuri inayobebwa hadi na magari ya vyombo vyetu vinavyosimama hadharani kuzuia matumizi yake. Lakini kabla hawajaipeleka sokoni si walionja kujua kama iko poa au?
 
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

Ni vyema ccm ingeweka wazi green guard imeelezewa wapi kwenye katiba ya chama hicho. Kama kundi hilo halijaelezewa kwenye katiba yao, wauambie umma wa Watanzania green guard imeanzishwa kwa kuzingatia sharia ipi; imesajiliwa lini na maudhui ya kundi hilo ni yapi.

Kushindwa kwa ccm kutoa ufafanuzi huo kutadhihirisha wazi kuwa green guard wanayoitetea haina tofauti na magenge ya wahuni na wahalifu kama MUNGIKI la nchini Kenya ambalo limekuwa likijihusisha na uhalifu uliokidhiri kwenye maeneo ya jiji la Nairobi.

MUHIMU: Kwa kutambua jinsi ccm inavyoongozwa na kushauriwa na watu waliobeba vichwa vilivyojaa tope na wasioweza kujishughulisha japo kidogo, ni vyema wakatambua kuwa;

  1. Kwenye katiba ya chama hicho iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010 hakuna sehemu yoyote inayozungumzia green guard
  2. Kwenye katiba hiyo maneno "green guard" hayamo kabisa;
  3. Neno "kijani" limetajwa mara moja tu likiwa linaelezea rangi ya bendera ya chama hicho na sio kundi tajwa

Kwa msingi huo, Green Guard haipo kihalali na ni muhimu kundi hilo likatambuliwa kama moja ya makundi ya kihalifu yaliyoanzishwa kwa siri ndani ya nchi yetu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

wewe ni -------- kweli,kwani ukiwa ccm ni lazima uwe na akili za kitaahira?
Nakuonea huruma lijitu kama wewe
 
HAMY-D Nilikuomba ubadiri AVATAR yako,hukumbuki kua Kagame anakusubiri Mahali sahihi akuchape?
 
CHADEMA ni chama cha wavuta bangi tu. Ukianzia na Wabunge wake mpaka Red Brigade yao wanayotaka kuanzisha.
Wewe Mbumbumbu sana najua unawaza kwakutumia miguu aahhahahhh Badirika sana tazama nyakati kwanza.
 
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

Jamani tuache lugha za matusi, anayeweza kuamua kama mtu ni jambazi au la ni mahakama peke yake. sasa hiyo red brigade haijaundwa sasa wewe unawahukumu je kuwa ni majambazi?
 
Kitendo cha USA kuja na kupigia chapuo biashara kitaathiri sana demokrasia na haki sawa kwa watanzania, USA is only interested na yule anayecheza ngoma yao, we have a lot of examples na kwa kinachoendelea, tusishangae kuona kwamba CCM wana sapoti ya big nations kwani wageni wasingependa sisi tudai haki, tutake usawa na kusimamia chetu, kwani tukifanya hivyo hawataweza kutunyonya kamwe

We are in for a very deep sh!t

Kweli kabisa! CCM watauza hii nchi ili mataifa makubwa yawasaidie kubaki madarakani.Kupitia kulazimisha kwa CCM kubaki madarakani lazima tuchague moja, ama kulazimisha haki zetu bila kujali matokeo au tuwaachie nchi wafanye watakavyo wao!
 
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

Majambazi na wahuni ni wazazi wako na wewe pia..waite ndugu zako wahuni sio vijana wanaojitambua.nonsense
 
CHADEMA ni chama cha wavuta bangi tu. Ukianzia na Wabunge wake mpaka Red Brigade yao wanayotaka kuanzisha.

Ni akina nani wanaowauzia hiyo bangi? kila inapotokea skendo ya bangi serikali huwa inaizima kwa nguvu sana. Kuna tetesi za kijana mmoja (inawezekana ni uvccm) alikamatwa China ikatumika gharama kubwa sana kumkomboa. kwa hili nakubaliana na wewe kwani kila mfanya biashara anawajua wateja wake.
 
Green Guard sio sawa na Red Brigade. Kama CHADEMA wanataka iwe sawa, basi wafuate utaratibu kama wa UVCCM wa kuwakuza chipukizi, lakini CHADEMA wanabeba majambazi na wahuni mtaani ambao tabia zao zimeshindikana, eti ndio wanaunda kikosi cha kujilinda kwa utaratibu huu. Kikosi cha CHADEMA hakikubaliki.

HAMY-DADA hivi hujui waasi unaowasikia wanawatumia sana watoto? wanawachukua wakiwa wadogo na kuwapa mafunzo ya kijeshi. haki za watoto ziko wapi mnawatumikisha kuwapa mafunzo ya kijeshi?!?! mwenzio nchemba alisema huwa mnakutana kufyatua tofali za kujengea shule za kata eti.....
 
Back
Top Bottom