CHADEMA chasambaratika kwa kasi mpya na ari mpya

Mmmh!, me binafsi sidhani kama chama kinaweza kuwa dhaifu kiasi hiki!, CDM ni chama cha vijana, kwa hiyo changamoto kama hizi zilitarajiwa,.. cha msingi viongozi wakae na kutafuta namna bora ya kureadresss swala!,...
 
Tatizo la chadema ni chama ambacho kilijengwa kwenye misingi ya kilaghai lakini kwa sasa watanzania wamefungua macho huwezi kuwalaghai tena mbowe zama zake zimekwisha lazima aondoke.
 
Watu hawalali, hawali wala hawanywi maji, na wakisikia jina la Zitto mioyo yao inawaenda mbio, endeleeni kutunga thready za kumchafua badala ya kuweka sawa chama, umaarufu wa chama utapotea muda si mrefu kama vingine vilivyokuwa vina shine.

Body without head
 
Theo Mutahaba amjibu Zitto

Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha.

Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.

· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na kumdhoofisha Dr. Slaa

· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili CHADEMA isiibane sana serikali.

· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi na ushahuidi tunao

· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.

· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?

· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa

· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?

Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.

Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?

Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha kuwadanganya watanzania na kiini macho cha Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza sio CHADEMA.

Ule waraka unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa Andrea, take care of your son. Get out of these Zitto corrupt acts. you know quite well that we wired you money and we have the evidence. Why would you waste your effort making noises? do you know the German government is investigating this matter? why would you fall for Zitto childish internet games of writing emails to the Chadema

leaders. So for your information, the document came from CCM and Tanzania Intelligence
Services Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu Chadema.
Kwa wale tunaofuatilia siasa kila kukicha na kujua mambo kadhaa huwezi kutudanya kirahisi kiasi hicho haya mambo kadanganyane na wazembe wenzako wasiojua kutafuta na kujua ukweli umevurugwa sana.
 
Zitto alianza vizuri akajiona Chadema ni zitto na zitto ni Chadema bila zitto Hakuna Chadema, Upinzani ni zitto bila zitto Hakuna Upinzani, akalewa sifa akaangukia mikononi mwa mafisadi yakamnunulia RangeRover lenye km zero akajiona Tanzania ni zitto bila zitto Hakuna Tanzania. Sasa Chadema na Tanzania vinabaki na zitto anaondoka nasi kwa umaarufu tena Bali anaondoka na Aibu. Tumzomeeeee zitto woooooooooooooooooooooooooooooo!!!!

Ngoja aje Simiyu yetu kumtetea.
 
Hamumjui Zitto nyie! Yule dogo ni mweupe kama karatasi. Bahati mbaya kwake ameanza uzabizabina akingali mdogo sana
 
Last edited by a moderator:
Kuna dalili kuwa mpaka kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa hakipo kwenye medali za kisiasa kwa ubinafsi wa M/kiti na K/tibu kuwa kimya kwa kunyamazia uozo wanaoutengeza wenyewe ktk chama.

Kwa habari zilizopatikana toka vyanzo vyetu vya habari ktk mitaa ya Ufipa na togo zilizopo ofisi za chadema ni kwamba mpaka sasa kunawajumbe wa baraza kuu la chama limegawanyika'liko ambalo lina amini kuwa chama hakiko sahihi kabisa kunyamazia madudu yanayofanywa na kundi la vijana wa lema kumchafua zito kisiasa kwani zito ni haki yake kidemokrasia kugombea nafasi ktk chama.

Wajumbe hawo wanaamini kuwa chama kumuacha Lema na mnyika kumchafua zito ni kuigawa cc ya chama na pia kuwakatisha tamaa wanachadema kwa ujumla.

Kubwa zaidi wanaamini lema anatumika kama ngao au amevishwa kengele tu kwani nyuma yake kuna M/kiti na katibu na ndio maana hachukuliwi hatua wala kukemewa.

Wakati huwohuwo wajumbe hawo wa cc wanadai watakufa na Zitto ktk chama kwamaana haondoki mtu hapo mpaka wajue zito anschukuwa Uwenyekiti wa chama.

Hali pia sio nzuri ktk jumuiya ya vijana na wanawake.haswa kwa vijana ambapo Zitto ni kijana wao ktk chama mrefu.wao wanadai watapambana huku wakisubiri majibu ya barua ya mpambanaji wao toka kwa katibu mkuu.

Sisi yetu macho kutakakujua yatakayotokea tutazidikuwajuza kinachoendelea
mtaangaika sana chadema ni sawa na baselona amuwezi kutupangia list kutaka mesi tumuweke kipa ili tufungwe kila mwanachama chadema ana namba yake kama ilivyo baselona, wewe ni gamba na hayo ndio mawazo ya magamba
 
Kuna dalili kuwa mpaka kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa hakipo kwenye medali za kisiasa kwa ubinafsi wa M/kiti na K/tibu kuwa kimya kwa kunyamazia uozo wanaoutengeza wenyewe ktk chama.

Kwa habari zilizopatikana toka vyanzo vyetu vya habari ktk mitaa ya Ufipa na togo zilizopo ofisi za chadema ni kwamba mpaka sasa kunawajumbe wa baraza kuu la chama limegawanyika'liko ambalo lina amini kuwa chama hakiko sahihi kabisa kunyamazia madudu yanayofanywa na kundi la vijana wa lema kumchafua zito kisiasa kwani zito ni haki yake kidemokrasia kugombea nafasi ktk chama.

Wajumbe hawo wanaamini kuwa chama kumuacha Lema na mnyika kumchafua zito ni kuigawa cc ya chama na pia kuwakatisha tamaa wanachadema kwa ujumla.

Kubwa zaidi wanaamini lema anatumika kama ngao au amevishwa kengele tu kwani nyuma yake kuna M/kiti na katibu na ndio maana hachukuliwi hatua wala kukemewa.

Wakati huwohuwo wajumbe hawo wa cc wanadai watakufa na Zitto ktk chama kwamaana haondoki mtu hapo mpaka wajue zito anschukuwa Uwenyekiti wa chama.

Hali pia sio nzuri ktk jumuiya ya vijana na wanawake.haswa kwa vijana ambapo Zitto ni kijana wao ktk chama mrefu.wao wanadai watapambana huku wakisubiri majibu ya barua ya mpambanaji wao toka kwa katibu mkuu.

Sisi yetu macho kutakakujua yatakayotokea tutazidikuwajuza kinachoendelea

Siamini kama CDM wamefikia mahali pa kutafuta suluhu ya matatizo yao kupitia mitandao. Kama kuna anaetaka kupata nafasi ya uongozi katika chama bila shaka kama chama lazima kina utaratibu mzuri unaotoa nafasi kwa kila mwenye nia na uwezo huo. Hawafungwi na mtazamo wa mtu mmoja tu.
 
Kuna dalili kuwa mpaka kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa hakipo kwenye medali za kisiasa kwa ubinafsi wa M/kiti na K/tibu kuwa kimya kwa kunyamazia uozo wanaoutengeza wenyewe ktk chama.

Kwa habari zilizopatikana toka vyanzo vyetu vya habari ktk mitaa ya Ufipa na togo zilizopo ofisi za chadema ni kwamba mpaka sasa kunawajumbe wa baraza kuu la chama limegawanyika'liko ambalo lina amini kuwa chama hakiko sahihi kabisa kunyamazia madudu yanayofanywa na kundi la vijana wa lema kumchafua zito kisiasa kwani zito ni haki yake kidemokrasia kugombea nafasi ktk chama.

Wajumbe hawo wanaamini kuwa chama kumuacha Lema na mnyika kumchafua zito ni kuigawa cc ya chama na pia kuwakatisha tamaa wanachadema kwa ujumla.

Kubwa zaidi wanaamini lema anatumika kama ngao au amevishwa kengele tu kwani nyuma yake kuna M/kiti na katibu na ndio maana hachukuliwi hatua wala kukemewa.

Wakati huwohuwo wajumbe hawo wa cc wanadai watakufa na Zitto ktk chama kwamaana haondoki mtu hapo mpaka wajue zito anschukuwa Uwenyekiti wa chama.

Hali pia sio nzuri ktk jumuiya ya vijana na wanawake.haswa kwa vijana ambapo Zitto ni kijana wao ktk chama mrefu.wao wanadai watapambana huku wakisubiri majibu ya barua ya mpambanaji wao toka kwa katibu mkuu.

Sisi yetu macho kutakakujua yatakayotokea tutazidikuwajuza kinachoendelea

ccm wana macho lakini hayaoni wana masikio lakini hayasikii wala hawajifunzi kwa mifano, uchaguzi wa Arusha mlisema hivyo hivyo kwamba chadema kitaanguka kifo cha menda na ccm itashinda kwa kishindo,ccm ni ya kufa tu, mwisho wenu ni 2015
 
Chadema ni saccos ya wapiga dili (kanda ya kaskazini)

Hilo tu haliwezi kunifanya niipende CCM au chama kunginecho zaidi ya CDM!
Na ni bora CDM ya Kaskazini kuliko CCM ya wa ASIA!
POLE sana wanafunzi wa propaganda!
 
Kuna dalili kuwa mpaka kufikia mwaka 2014 chama kitakuwa hakipo kwenye medali za kisiasa kwa ubinafsi wa M/kiti na K/tibu kuwa kimya kwa kunyamazia uozo wanaoutengeza wenyewe ktk chama.

Kwa habari zilizopatikana toka vyanzo vyetu vya habari ktk mitaa ya Ufipa na togo zilizopo ofisi za chadema ni kwamba mpaka sasa kunawajumbe wa baraza kuu la chama limegawanyika'liko ambalo lina amini kuwa chama hakiko sahihi kabisa kunyamazia madudu yanayofanywa na kundi la vijana wa lema kumchafua zito kisiasa kwani zito ni haki yake kidemokrasia kugombea nafasi ktk chama.

Wajumbe hawo wanaamini kuwa chama kumuacha Lema na mnyika kumchafua zito ni kuigawa cc ya chama na pia kuwakatisha tamaa wanachadema kwa ujumla.

Kubwa zaidi wanaamini lema anatumika kama ngao au amevishwa kengele tu kwani nyuma yake kuna M/kiti na katibu na ndio maana hachukuliwi hatua wala kukemewa.

Wakati huwohuwo wajumbe hawo wa cc wanadai watakufa na Zitto ktk chama kwamaana haondoki mtu hapo mpaka wajue zito anschukuwa Uwenyekiti wa chama.

Hali pia sio nzuri ktk jumuiya ya vijana na wanawake.haswa kwa vijana ambapo Zitto ni kijana wao ktk chama mrefu.wao wanadai watapambana huku wakisubiri majibu ya barua ya mpambanaji wao toka kwa katibu mkuu.

Sisi yetu macho kutakakujua yatakayotokea tutazidikuwajuza kinachoendelea

Babu Slaa aliwahi kusema, NCHI HAITATAWALIKA, sasa Mungu kaamua kumuumbua huyu mzee mnafiki, CHADEMA ndio Haitawaliki.
 
Back
Top Bottom