Umeshawahi kuona mtu anafurahia kwao ila akija kujua hapo sio kwao niwamepanga sindokukata tamaa hicho chama kilipendwa sana ila kilijishusha kwa tundu .
Hawakumsaidia matibabu.
Ni watu wengine ndio walijitolea akapona sasa ahadi zao hazijatimizwa basi.
Ndio maana chadema imeshuka daraja