Chadema Chama Cha kizazi kijacho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Chama Cha kizazi kijacho!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Oct 18, 2009.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Chadema ni chama kidogo kwa mawazo yangu lakini ni future ya Tanzania. CCM inawakati mgumu kwa miaka 15-20 ijayo.
  Chadema itakuwa polepole sana lakini inamisingi imara kwani ina watu imara.
  Watu
  Ndesamburo-Mfanya biashara maarufu aliyefanya fanya kazi kwa bidii kuanzania miaka ya sitini hadi sasa. Ndesamburo kafanya biashara kihalali na badala ya kukaa chini na kula pesa ameamua kuwa mwanaharakati na mzungumzaji.
  Zitto-Kijana aliye zaliwa 1976 lakini kafanya vitu vingi na mabadiliko makubwa kuliko babu zake walio bungeni. Zitto na mwanga tofauti wa kizazi kipya na cha maana sana ni kwamba vijana wengi wanafikiria kama yeye kwenye mambo mengi. Zitto kwa vijana si mwanasiasa lakini ni mwananchi /kijana mwenye uchungu. Anahimiza elimu kwake binafsi kwani hadi sasa anataka kujiendeleza kielimu, na anahimiza mikataba bora kwani anajua watakao pata shida si wazee walioko bungeni balikizazi chake.
  Dr. Slaa- Huyu jamaa ni padre haogopi kufa kwani anaamini ana wito kwenye siasa. Ni vigumu kushindana na mtu anayeamini ana wito wa mungu kuwa mwanasiasa kwani rushwa kwa Dr. Slaa si kosa tu bali ni dhambi kwa mungu na anaamini hivyo. Vilevile mafunzo ya upande ambayo ni ya miaka mingi yamempa uvumulivu na upeo wa hali ya juu sana. Katika wanasiasa wa Tanzania hakuna hata mtu mmoja mwenye uwezo wa kiakili, fikra na busara kuliko Dr. Slaa. Ni vigumu kushindana na mtu mwenye akili kuliko wewe na ni mvumilivu. Kuna wana CCM wenye aliki lakini rushwa au usiasa umekuwa mbele kuliko utanzania. Huyu jamaa ni solid.
  Mboe- mboye is mtu mwenye kipaji sana lakini ni mfanya biashara mzuri sana. Kitu kimoja ambacho mboe anasaidia ni kubadilika kwa wakati na kuwa mbele kwenye kila kitu mfano. Viongozi wa Chadema wanatumia mitandao kuliko CCM, kampeni kwa helcopta ni muhimu kwa chama chenye viongozi wachache. Mboe analeta creativity kwenye chama. Ni vigumu kuona mchango wa mboe kwasababu yeye si muongeaji lakini creativity yake inaonekana.
  Hakuna watu wanne CCM wenye uwezo kuliko hawa jamaa, je ukiwapa viongozi wengine 70 au 100 chama kitakuaje??? Mimi binafsi sina chama
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  soon yaja kuji rejister na kuchangia thru your mobile jamani so nategemea tutaitumia vizuri nafasi hii kuiweka chadema kileleni na cha msingi tuanze na ubunge tupate wabunge wengi pale mjengoni ndo mambo yote si mnaona sasa hivi mafisadi wanatuzidi kete tukifaulu kuwa na wabunge wengi mikataba yote mibovu itaangaliwa upya
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Chadema bado saana.uchahuzi ujao utathibitisha hilo.
   
 4. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamundu ni vizuri umeliona hilo na unakubaliana na juhudi wanazo fanya watu wa Chadema.

  Ila kidogo ningependa kushauri ujiunge na Chadema ili na wewe uongeze nguvu. Tusifikiri matatizo ya Tanzania yatatatuliwa na akina Slaa tu. Inabidi tuwasaidia. Kumbuka umoja ni nguvu. Usikae na unaangalia akina Zitto wanahangaika. Ingia uwanjani na wewe utoe mchango wako. Tukijitokeza wengi Chadema itakuwa na nguvu sana.

  Njimba
   
 5. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Lakini Chadema wanahitaji kujirekebisha maeneo kadhaa. Kati ya maeneo hayo ni kuwa wepesi kubadilika/kujisahihisha na kuonyesha njia.

  Wakati li-CCM ni kama leyland la mwaka 47, Chadema wanaweza kuwa gari lenye kasi zaidi, na hasa kwa kuwa ni chama kipya relatively. Matumizi ya teknolojia ya kisasa pia ni eneo mnalopaswa kulitilia maanani. Hapo kidogo mnalega lega.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  imani yangu ni kwamba kwenye chaguzi ndogo ndogo za serilaki za mitaa wachangiaji hapo juu mmehudhuria,ns mmepiga kura kwa viongozi wa chadema!..............
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa kujipa moyo hamjambo...chama cha watu wanne na wengi wao wanatafuta namna ya kutokea e.g. kusoma, ubunge wa upendeleo, kutengeneza business contacts etc....just grow brother don't cheat yourself... watakufa kifo cha nccr mageuzi....without kuungana. Mpinzani bado hajazaliwa bara ila Zenji CUF wanawamudu CCM (bara wakiacha kuwalinda though)
   
 8. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi bongo hauthibitishi chochote - waulize CUF
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  safi sana!
  naunga mkono hoja
   
 10. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  chama cha watu wa 4
  eti hamna watu wanne kama hao CCM
  mmmh long way to go the so called chama cha DEMOKRASIA NA maendeleo
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Nadhani una tatizo mahali . Nimetoka muda huu kusoma kuna mahali una mwelekeza Zitto kwamba Chadema ni wakristo akina Mengi nk . Lakini sikutaka kitu mie na utu uzima wangu siwezi kusema lolote kwa Zitto juu ya Chadema .Wengi hapa mko nje ya Nchi mnawapinga lakini mko huko huko .Sasa huwezi hata kuona ukweli kwamba Chadema inakuja hii inasikitisha . Unajua unakuwa na chuki hadi unakosa mwelekeo na hata heshima na ujasiri . Umetumia udini mahali fulani na sasa unasema wanataka pa kutokea . Hawa watu ina maana hawana na hawakuwa na business concts hadi walivyo kuja kwenye Chadema ?

  Dr.Slaa ni makini sana.Leo nimeongea na mtu wa Arusha ambaye yuko Halmashauri juu ya Slaa na mbinu za CCM . Jamaa alikiri kwamba CCM they are trying very hard lakini hata yeye anasema Slaa ni mzito na si rahisi kumuingia na aka suggest kwamba labda CCM waamue kumwaga pesa kwake kitu ambacho Padre Slaa hawezi kupokea. Yes Chadema inakuja na muhimu wawe na sikio la kusikia na kuitikia mara moja .

  Lakini nyie mnao shinda hapa kuandika tu na kulala ama kuporomosha matusi mnafika hata huko kwenu kuwasaidia CCM yenu isweze kujisahihisha ?
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado hawajatosha. wanahitaji muda zaidi kujikita
   
 13. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  FYI fuatilia uchaguzi serikali za mitaa ndio utajua chama mbadala ni kipi
  hali ni ngumu huko mitaani jamaa wamekuja juu
   
 14. Bob1

  Bob1 Member

  #14
  Oct 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakukifanya chama kiwe imara sio viongozi peyao kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake
  Tumania umesema chadema ni chama cha watu wanne.Fikra hiyo tasa ndio inayoumiza upinzani na nchi jiulize kwanza ulisha wahi kwenda chadema kuchangia mawazo yako wakwakwambia ondoka au ulisha sikia viongozi wa chadema wakisema kama wale wa CCM "hiki chama cha watu na hii nchi yetu"

  As you self what you can do? not what they should do..:confused:

  Big percent of strong political part unatoka kwa wanachama, viongozi ni sehemu ndogo sana (chama ni wanachama sio viongozi)
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  Kaka sahau hilo, samahani kusema hivi isikuume

  Mbowe anafaa kuwa mshauri wa mwenyekiti na sio mwenyekiti.Ni mzito amejaa ustaarabu wa kitanzania, ambao unapelekea kulia kwenye mambo mengi.

  They not acting like politician , wako kama vile NGO, no action, hakuna misisimko ya kisiasa.

  Believe me,CHADEMA wangemweka mwenyekiti msumbufu wa serikalini kila kukicha basi leo ungeamini unayoyasema.

  Hao wasomi wengi wamegundulika they dont care about politics

  Kazi ya wanachama ni kukitangaza chama kama injili inavyohubiriwa, na sio kusubiri katibu au Mwenyekiti SASA HII SENSE ya chama ni cha nani ndio huwa inaharibu vitu vingi sana.

  Siamini na wala sitaki kukubali kuwa chadema kina ukabila, lakini je kumconvince mtu kule songea ni rahisi? politic is a game, only player can play and score the goal at right time, right place to the right people

  Ishu ya umeme sasa hivi ingekifanya chadema kuwa juu na CCM ku-drop, lakini wapi
   
 16. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Cheroya,
  Mimi sijasema sasa bali 15-20 years. Miaka 15-20 ijayo mawasiliano ya watanzania yatakuwa marahisi kuanzia barabara hadi mtandao. Watanzania wanapenda mawasiliano mfano mobile phone miaka 15 iliyopita ilikuwa wapi? mtandao ulikuwa wapi miaka 10 iliyopita?. Je umeshajiuliza wanakijiji wakiwa na elimu na mtandao Tanzania itakuwaje?. Watanzania wanabadilika haraka sana angalia tanzania inawatumiaji wangapi wa simu sasa je mtandao wakipata itakuwaje?. Chadema inaweza kisiwe chama kama watabadilika au CCM watabadilika, sasa tunaona CCM wanagombana na cha kujiuliza ni kitu gani wanagombania!. Skendo nyingi zimeletwa na Chadema au mitandao hivyo hata kama Chadema kwasasa haishindi ni lazima ujue inabadilisha nchi hata CCM yenyewe inabadilika. Mimi binafsi sithani kama vyama vya siasa vinasaidia nchi yetu ningependa tusiwe hata na chama kimoja na watu wote wagombee binafsi na kuwekwe sheria tu . Mimi ningependa mahakama ipewe nguvu zaidi.Lakini ukweli ni vigumu kuwa hivyo hivyo mimi nasema mawazo yangu
   
Loading...