Chadema, CCM yametimia

Labda Mnyika alikuwa quoted out of context. Nijuavyo mimi suala la maandamano bado lipo pale pale. Ni timing tu.

Jasusi,
Hivi wewe na John Mnyika nani msemaji wa Chadema?
 
ni kasi gani unayoitaka kwan michango yao bungeni huioni? hoja zao bungeni huzioni au ww unataka kasi gani zaidi?
 


I can smell a rat here.
Yaonekana uliyeanzisha hii thread HUIJUI CHADEMA kabsaaaa!Na kama sitakosea haya ni maneno ya majitu ya CCM!
Ovyooooooo.
 
I can smell a rat here.
Yaonekana uliyeanzisha hii thread HUIJUI CHADEMA kabsaaaa!Na kama sitakosea haya ni maneno ya majitu ya CCM!
Ovyooooooo.

Nadhani huna hoja za msingi zaidi ya porojo.
 
Kimbunga,
Nakuhakikisha mipango ya maandamano bado ipo pale pale. It is just a matter of time and it has nothing to do with mkutano wa Ikulu kuhusu katiba. Just stay tuned!
Mkuu nadhani kuna maelewano ambayo hayako wazi lakini wajanja tumeng'amua.
 
Jasusi,
Hivi wewe na John Mnyika nani msemaji wa Chadema?
It does not matter. Mnyika naye yupo hapa mara kwa mara. Kama nimesema uwongo atanisahihisha. Ninachojaribu kufanya ni kusuta ile dhana iliyoenea kwamba Chadema wameacha maandamano baada ya kukutana na Kikwete Ikulu. Si kweli na maandamano bado ni mojawapo ya mbinu za Chadema. It is just a matter of timing.
 

C.r.a.p!!..idiocy.
 


Mzee siasa ni ngumu sana,ukishashindwa ktk uchaguzi lazima ujipange na uangalie wapi ulishindwa.Sasa wanajipanga upya na uelewe watu wa chadema walikua watafutwa kuungwa mkono katika sera na elewa kampeni zimeisha.Ukiendeleza kampeni ni ishara ya kukataa kushindwa na kutokubaliana na wale waliopewa ridhaa toka kwa wananchi,na ndio mwanzo wa vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…