Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko
Wapuuzi ninyi.. ku allert ndo nini? alikuwa anahangaika kusafiri huku na huku kupeleleza na kutafuta hao watu na akasema anawajua hao watu leo anasema hana jina hata moja? Shame in you pro zitto!
Chenge wakati anashuka alisema ana ''vijisenti'' leo eti chadema wamesahau
hivi ndugu hawa ni wapinzani kweli??
Hivi unadhani kweli mwizi anaweza kujishtaki mwenyewe? Eti ajikamate mwenyewe? Mtu aseme kuwa zimefichwa fedha Uswiss na Wahusika ambao ni viongozi waandamizi wa Serikali waoneshe ushirikiano katika hilo? Ilikuwa anayetoa tuhuma aje na ushahidi kamili bila kutegemea kupata msaada serikalini. Unafikiri mtu kama Chenge akuunge mkono?kamati ingekubali kupokea majina bila kiapo, ili kwa kuanzia hapo uchunguzi ufanyike, lkn pia Zitto mara kadhaa ameishauri serikali iingie mkataba wa kubadilishana taarifa na mataifa ya ulaya, kwa kufanya hivyo serikali ingepatiwa taarifa za wananchi wake wenye fedha chafu nchi hizo.
Ajabu sisi chadema tunaungana na serikali kutetea mafisadi, hivi nani asiyejua kuwa chenge ana fedha chafu uswissi? Zitto alichosema isue ni fedha hizo kurudi na si kutaja majina, nafikiri tujipe muda tuone.
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu
Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO
Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo
Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu
kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??
HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??
HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??
WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??
MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO
LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??
HIVI MSAIDIWEJE??