CHADEMA = CCM, fedha za Uswis? Ni kazi ya Zitto kutaja majina au vyombo vya usalama?

Status
Not open for further replies.
...LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??
... sasa nashangaa wanaCHADEMA kwa kukubali kucheza ngoma ovu ya serikali kisa tu wanachuki binafsi na Zitto...
Naomba niulize; Hivi tangu jana Werema alivyotoa kauli ya kumuita Zitto kuwa ni mzito, kuna kauli rasmi kutoka ofisi ya CHADEMA kuungana na kauli ya Werema au serikali? Au kwa lugha nyingine, ni kigezo gani kinatumika kupitisha fikra kwamba CHADEMA imeungana na Werema au serikali dhidi ya Zitto?
 
zitto aisaidie serikali kwa kuwapa hayo majina aliyosema anayo, baada ya hapo serikali ichukue hatua dhidi ya wahusika!

Role ya kambi kuu ya upinzani bugeni hapo inakuwa nini???!!!
Kumiacha Zitto azame kwa gharama ya Watanzania????!!!!

Una zungumza au unaweka.hoja???!
 
Pro Zitto leo mmepata mapigo mawili matakatifu! Ujasiri wa Zitto umeenda wapi? Anashindwa kutaja wahujumu uchumi, atawezaje kuwa rais wa nchi kwastyle hiyo!

Ila kusema kuna kontena la kura ndio ujasiri?

Mwacheni zito aitwe zito.yeye anajiamini naanaamini anachofanya.hafanyi kwakuwalizisha wanacdm.au kwawanaccm.anafanya kwamanufaa ya taifa lake.
 
Naomba niulize; Hivi tangu jana Werema alivyotoa kauli ya kumuita Zitto kuwa ni mzito, kuna kauli rasmi kutoka ofisi ya CHADEMA kuungana na kauli ya Werema au serikali? Au kwa lugha nyingine, ni kigezo gani kinatumika kupitisha fikra kwamba CHADEMA imeungana na Werema au serikali dhidi ya Zitto?

kwani suala hapa ni kuitwa mzito????!!!!
Kama mada ni hiyo ya uzito kwani nani sio mzito si ndio hiyo BMI!!!

Tumia kichwa zaid ya kufugia nywele!!!!
 
Kwanza niseme punguani ni Mdenge wa paka wako. Kama ni Binadamu basi atakuwa mama mkwe wako.

Ushike adabu yako wewe na kimbelembele chako kutukana watu hata huwafahamu, punguani mwenyewe.

Sasa Zitto si alijitangaza kuwa yeye anapigana peke yake? Kwenye Posho akajitoa na kuwaacha Chadema. Kwenye kutoka Bungeni akawakimbia wenzake. HQ hajafika kwa miezi kadhaa hadi juzi walivyomsulubisha......

Mwambie huyo Bwana wako Zitto ajuwe kuwa CDM wana team work nzuri sana na kama walikubali kufa na Lwakatare mwenye kosa kubwa, lake lingelikuwa jepesi sana. Nina imani Tundu Lissu angeliwakaanga watu hadi wakamkimbia na Zitto kuachwa. Alifikiri ataweza kupigana peke yake na sasa Chadema wamemtema na CCM hawana shida naye kwani watakuwa wanawinda ----- jingine lenye tamaa ya pesa waje walilambishe liwe li YUDA.

Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone mwenyewe......

Mkuu vipi tena ile varnish imekubali kufanya kazi au detergent ndio imeongezwa conc???!!!

Mbona.kama.ile "Brain washing" aspect inapata mkanganyiko kwa maelezo yako ya leo???!!!!

Cc Nyani Ngabu, gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Naomba niulize; Hivi tangu jana Werema alivyotoa kauli ya kumuita Zitto kuwa ni mzito, kuna kauli rasmi kutoka ofisi ya CHADEMA kuungana na kauli ya Werema au serikali? Au kwa lugha nyingine, ni kigezo gani kinatumika kupitisha fikra kwamba CHADEMA imeungana na Werema au serikali dhidi ya Zitto?

Cdm haija sema lolote.lakini kwahaya mambo yanayoendelea cdm.ccm na serikali yake watafanya madudu mengi.wanajua hakuna wakuwauliza wamewagombanisha tayali.wanaleta uwongo wao
 
Zitto atimize ahadi ya kutaja majina ya Mabilonea wa Uswisi, Mbowe alete Mkanda alioahidi wa Mauaji ya Arusha, Tundu Lissu alete Waraka halisi wa Kitila Mkumbo, Slaa atimize ahadi ya kutaja lilipo Kontena la kura 2010 kule Mbeya!
Usisahau kumwambia na Kikwete atupatie majina ya wauza unga aliyo nayo.
 
Role ya kambi kuu ya upinzani bugeni hapo inakuwa nini???!!!
Kumiacha Zitto azame kwa gharama ya Watanzania????!!!!

Una zungumza au unaweka.hoja???!
Kama ZZK angekuwa anaishirikisha CHADEMA kwenye mambo yake, bila shaka jana Kambi Rasi ya Upinzani ingekuwa inaelewa chochote na ingesimama kumtetea. Lakini utatetea nini wakati hata wewe mwenyewe huna taarifa? ZZK amekuwa anajitenga na CDM, hata operesheni za Kanda ya Magharibi amekuwa akienda peke yake bila hata uongozi kujua ratiba za huko. Isingekuwa rahisi kutetea kitu usichojua, ukipotosha hoja ya mwenyewe je, si atakulaumu?
 
Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss

Mnapoongea kwa hisia inaonesha mlivyo mazombi!Kwani si huyo zzk alisema anayo majina?kwa nini asiyataje ili tuamini haikuwa mbinu yake ya kutafuta cheap popurality?Je unajua kuna fedha zaidi ya dola milioni mia sita sawa na bilioni zaidi ya 800 za wafadhili zimeibiwa humu humu na wametaka zirudi ndio watoe msaada tena?kama wewe na zzk mnashindwa kuzipigia kelele hizi za humu,kwa nini mtudanganye eti zzk hahudhurii shughuli za chama chake kwa vile anafuatilia pesa za uswiss?Acheni siasa za uzombi muwe mnafikiri kwanza.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
zito naye ana vijisenti ujerumani na TISS ni washirika wake wanamkingia kifua.

kwa sababu wanamtumia kuangamiza CDM,

kwahiyo hii ni danganya toto ya zito na TISS ili asishtukiwe na CDM, kama alikuwa na nia nzuri kwa manufaa ya nchi kwa nini hakukishirikisha chama chake, kama ilivyokuwa wakati wa EPA

haiwezekani mtu anayejidai mzalendo na mpinzani wa serikali iliyo madarakani kila kukicha yuko nao katika mikakati ya siri kuangamiza chama chake alafu eti leo anafuatilia acconts za hao jamaa zake wanomlipa ili asaliti chama,

kwani zitto anajua hela anazolipwa zinatoka wapi? siku wakimwita wakamwambia kuwa hela alizopata muda wote toka mwaka 2008 zinatoka USWISS atasema nini??kwa hiyo naye ni sehemu ya hizo hela

dogo hakuwa makini na haya majambazi ya CCM sasa ndo atayajua vizuri kwa kuwa yameisha mwelekeza kibra yanasubiri kumchinja

Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??

HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??

WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??

MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO

LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??

HIVI MSAIDIWEJE??
 
Ndugu,

Kutaja majina ya wahalifu sio kazi ya vyombo vya usalama, ni kazi ya mtanzania yeyote hasa mwenye nafasi ya ki-maslahi na wananchi kama Zitto

Zitto habebi dhamana yake mwenyewe Zitto anabeba maslahi ya wananchi, na hapo kabla alikuwa ana dhamana ya Chama kama naibu katibu Mkuu

Dr Slaa alipotaja majina ya mafisadi pale mwembeyanga, hakutaja kama Dr Slaa, alitaja kama katibu mkuu wa Chadema na kama Mbunge wa Karatu,

Zitto leo anaogopa nini?? Hii inadhihirisha unafki ni sawa na aliposema juu ya ukaguzi wa ruzuku, then akakaa kimya, anaongea uzushi huku akijua ukweli ni upi, Watanzania hatupaswi kuvumilia viongozi wa aina hii

Lema amemwambia ampe majina yeye ataje.... Anaogopa nini kuyatoa kama anayo??
 
Sasa kama hakina uzito why kizungumziwe na mwanasheria mkuu tena bungeni ambako wana.kinga tayari????!!!!!Kweli kabisa ni negligible issue???!!!!!
Nyie senior citizens saa nyingine! !!!!!

Olesaidimu, it is not empty of effects (or as you put it "hakina uzito"). In contrast, the significance of an oath/affirmation can not be over-emphasized. Suffice it (let it be enough) to say here that a sworn statement/affidavit is a cautioned statement. The burden of disowning its contents in a court of law is as huge as carrying mount Kilimanjaro on your shoulders because the assumption is that you were fully aware of the "business". On the other hand, a normal statement (not taken on oath) is easily refutable. This is the main difference; the common lowest denominator is that they all attract responsibility, in town you young men say "inakula kwako."
 
Kwa hali jinsi ilivyo sasa zzk ndo amebaki kambi ya upinzani ila wenzake wameungana na ccm kuishambulia cdm(zzk), umakini wa wabunge wa cdm umepotea kabisa badala ya kuwatetea watanzania wamebaki wakimshambulia zzk. Hizi ni dalili za kuamguka kwa cdm chama kilichogeuka cha kifisadi na kumpinga anayepinga ufisadi ndani ya chama
 
Zitto aache kurembesha maneno , alituambia anayo majina na atayaweka wazi sasa kigugumizi cha nini !?
 
MM NIKIWA MZALENDO NA MPENDA MABADILIKO NIMEONA KWA KUWA WATU WENGI WAMETIA MIKONO YAO KATIKA SUALA LA MH ZITO NA KUONEKANA KAMA KUIUNGA MKONO CCM KWA KUKOSA KUWAJIBIKA
mh zito aliitwa ofisi ya mwanasheria mkuu na akaambiwa ataje majina ambayo kimsingi ni mabosi wa WEREMA je kosa la zito likowapi kumwambia MWANASHERIA MKUU kuwa yupo tayari kuyataja ila asipate any consequences incase kama hayo majina yakua sikweli kwan yeye ni raia na sio chombo cha upelezi ivo inawezekana watu waliompa report ikawa si kweli je kwann MWANASHERIA MKUU HAKUMPA HIYO KINGA kwan serikali ya ccm wanajua kufanya cover up mfano ni kesi ya mwangosi,kesi ya richmond,kesi ya mweyekiti wa madaktari, kesi ya epa, issue ya kigoda je nan kachukuliwa hatua??? hivo jaji werema alimtega mh zito ataje KISHA AMGEUKE NA KUMWAMBIA NI MZUSHI ndio maana aliomba kinga ya kutoshtkiwa kabla ya kutoa majina
je wanachadema tunaongozwa na chuki muda huu kuiunga mkono serikali ya ccm kwa uhalifu huu inaoufanya kwa wizi wa mali zetu zilizofichwa uswisi na new jersey, je kwann tusiende mbali zaidi kwamba kama serikali wamechukua hatua gani kudetect walioficha fedha huko uswisi mbn tumekimbilia kumshushia heshima zito je hii haichangiwi na chiki ilioja aa mioyoni mwa watu.
kumbukeni wakati fulani mh mandela aliambiwa ni msaliti na chama chake wakati akijadiana na makaburu kwamba akiachiwa hawezi kulipa kisasi nae kwakuwa ni mzalendo alisema haungi mkono white domination as opposed also to black domination baade dunia leo inamlilia kwan struggle for freedom and justice sio jambo dogo.
mh ZITO AMEFANYA KAZI YAKE KWA KUWAONYESHA SEHEMU AMBPAPO MWIZI AMEHIFADHI FEDHA ALIZOIPA YEYE SIO AFISA USALAMA ,HIVYO HIYO NI KAZI POLISI NA VYOMBO VYA UPELEZI NA OFISI YA MWANASHERIA MKUU KUFATILIA KULE USWISI
TUMHUKUMU MTU KWA HAKI NA SI KWA CHUKI ZETU ZILIZOPITILIZA
 
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??

HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??

WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??

MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO

LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??

HIVI MSAIDIWEJE??

I stand to be corrected. Mimi nakumbuka Zitto alishawataja hao watuhumiwa wa pesa za Uswiss kwa vyeo (mind you sio kwa majina)
  1. Waziri wa zamani wa madini
  2. Waziri wa zamani wa Ulinzi
  3. Mkuu wa majeshi wa zamani
  4. etc etc

Kama Zitto alifikia kuwafahamu watuhumiwa kwa vyeo ilikuwaje ashindwe kuwafahamu kwa majina? Zitto anaacha maswali mengi kuliko majibu katika sakata hili.
 
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??

HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??

WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??

MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO

LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??

HIVI MSAIDIWEJE??

Labda tukuulize wewe kwamba tukusaidiaje?
Umejaribu kuandika Ngonjera kwa marefu sana,lakini wala hakuna cha maana ulichoandika.

Chadema ni taasisi na sio mtu. Zitto alijitenga siku nyingi na mambo ya chama na hata wakati fulani amekuwa akifanya mambo mengi as him "individual" na sio km kiongozi wa CDM!!
Kumbuka wakati akijitapa kwenda nje ya nchi kufuatilia hizo pesa,(maarufu km mabilioni ya Uswisi),hakuwa akishirikisha chama bali alikuwa akifanya hivyo peke yake,na kwa utashi wake na wala hakutumwa na chama ila anajuwa mwenyewe alitumwa na nani na kwa faida gani.

Wakati anakula kiapo cha kusema hakuna wala hana majina ya walio ficha pesa bank za nje,hakushirikisha pia chama chake. He hapo Unadhani chama kitamsaidiaje?

Alichokuwa anakifanya mh Zitto ni kujitafutia umaarufu yeye badala ya Chama chake cha Cha Chadema kitu ambacho hakiwezekani.
Yote yanayompata mh Zitto leo ni matunda ya Usaliti aliokuwa anafanya dhidi ya viongozi wenzake na chama chake.

Kujaribu kufananisha kauli ya Mbowe km wengi mnavyotaka kutuaminisha kwamba yeye nae alisema kwamba anayo majina au mkanda wa video ya walioshiriki kurusha bomu ktk mkutano wa Chadema na mbona hakufanya hivyo,sio sahihi.

Mbowe alimuomba mh Rais aunde tume huru ya kimahakama chini ya majaji ili awape huo ushahidi kwa kuwa hawezi kuwapa polisi kwani ndio Watuhumiwa wa kwanza.

Je mh Rais kaunda hiyo tume halafu mh Mbowe akakataa kutoa ushahidi km ambavyo mh Zitto amefanya kwa kula kiapo mbele ya tume ya bunge kwa kusema hana majina?
 
mkuu ina maana upinzani ni kupinga kila kitu? Chadema wanakubaliana watanzania kuwa ni kweli kuna fedha zimefichwa uswis, lakini hawakubaliani na kitendo cha zitto kuwaambia watanzania kuwa ana majina ya watu walioficha pesa nje, wakati hataki kuwataja, huku ni kuwadanganya watanzania!

Kwa nini mnamlazimisha zito awataje? Una uhakika gani kama bado anaendelea kukusanya data. Ujue hapa anagusa maslahi ya watu wenye pesa. Acheni kukiharibu chama. Ukweli ni kuwa chadema chama kikuu cha upinzani tumekiua wenyewe na tusahau kukanyaga ikulu kwa staili hii. I swear. Ikulu kukanyaga ni asilimia 0.1 % kwa sasa , kuongoza sio ubabe hekima inatakiwa zaidi.
Kwa bibi muwe upande wa jaji werema? Werema anaamini kuwa hakuna mtu aliyeficha pesa uswis. Na nyinyi chadema mnamsapoti. Tuwaeleweje wafuasi wa mini kabang
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom