CHADEMA = CCM, fedha za Uswis? Ni kazi ya Zitto kutaja majina au vyombo vya usalama?

Status
Not open for further replies.
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??



HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA:

Wapi CDM wameungana na akina Lukuvi na Werema? Kwako CDM ni nani? Maana CDM hili haijalisemea.
 
Mkuu uko sawa kabisa. Zitto alifanya uchunguzi wake leo wanamwapisha ili ataje majina. Wameshapata sababu ya kutuziba midomo. Kweli tumerogwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza niseme punguani ni Mdenge wa paka wako. Kama ni Binadamu basi atakuwa mama mkwe wako.

Ushike adabu yako wewe na kimbelembele chako kutukana watu hata huwafahamu, punguani mwenyewe.

Sasa Zitto si alijitangaza kuwa yeye anapigana peke yake? Kwenye Posho akajitoa na kuwaacha Chadema. Kwenye kutoka Bungeni akawakimbia wenzake. HQ hajafika kwa miezi kadhaa hadi juzi walivyomsulubisha......

Mwambie huyo Bwana wako Zitto ajuwe kuwa CDM wana team work nzuri sana na kama walikubali kufa na Lwakatare mwenye kosa kubwa, lake lingelikuwa jepesi sana. Nina imani Tundu Lissu angeliwakaanga watu hadi wakamkimbia na Zitto kuachwa. Alifikiri ataweza kupigana peke yake na sasa Chadema wamemtema na CCM hawana shida naye kwani watakuwa wanawinda ----- jingine lenye tamaa ya pesa waje walilambishe liwe li YUDA.

Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone mwenyewe......
MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO
 
Hakuna Upinzani tanzania na chadema naiona kam ccm tu.. Pesa za wananchi zimefichwa uswis chdm inamsapoti jaji werema?????
Then mje mseme chdm ni chama cha upinzani? I dont buy.
 
shame on you traitor........

zitto kma polisi?? hizo fedha za kusaifiria ulikuwa unampa wewe?? what a shame.............................
Wewe ni Mjinga sana!!! Kama alikuwa anajua siyo kazi yake kuchunguza wenye hela uswisi mbona alikuwa anaifanya angeacha hiyo kazi ifanywe na taasisi husika
 
Zitto atimize ahadi ya kutaja majina ya Mabilonea wa Uswisi, Mbowe alete Mkanda alioahidi wa Mauaji ya Arusha, Tundu Lissu alete Waraka halisi wa Kitila Mkumbo, Slaa atimize ahadi ya kutaja lilipo Kontena la kura 2010 kule Mbeya!

J.k ataje majina ya wauza unga.
 
Hapa hakuna cha pro zitto wala against zitto,chenge aliposema bilion 1 ni vijisent pale airport ni ishara tosha anajua wenye nyingi zaidi yake na hawaziweki hapa tumenung'unika wote mara nyingi iwe sasa ni kazi ya serikali kuprove hilo ili tuone inawajibika,kwny hili tukileta upinzani wetu kwa zitto tukawaacha mafisadi wakitumia chance hiyo kupumzika historia itatuhukumu sisi sio zitto,tusiwape wezi nafasi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss

Zitto alishasema kwamba anaadhibiwa kutokana na kugombea uenyekiti pamoja na fedha za Uswiss, sasa nimeamini na kama hivyo ni kweli basi kuna tag team baina ya watu wa TISS pamoja na CHADEMA, Mkakati huo utammaliza kabisa Zzt, pamoja na hayo inathibitisha kwamba hapa Bongo hakuna upinzani wa kweli ila ni michezo ya ruling elites kutimiza malengo fullani
 
Hakuna Upinzani tanzania na chadema naiona kam ccm tu.. Pesa za wananchi zimefichwa uswis chdm inamsapoti jaji werema?????
Then mje mseme chdm ni chama cha upinzani? I dont buy.
mkuu ina maana upinzani ni kupinga kila kitu? Chadema wanakubaliana watanzania kuwa ni kweli kuna fedha zimefichwa uswis, lakini hawakubaliani na kitendo cha zitto kuwaambia watanzania kuwa ana majina ya watu walioficha pesa nje, wakati hataki kuwataja, huku ni kuwadanganya watanzania!
 
Hapa hakuna cha pro zitto wala against zitto,chenge aliposema bilion 1 ni vijisent pale airport ni ishara tosha anajua wenye nyingi zaidi yake na hawaziweki hapa tumenung'unika wote mara nyingi iwe sasa ni kazi ya serikali kuprove hilo ili tuone inawajibika,kwny hili tukileta upinzani wetu kwa zitto tukawaacha mafisadi wakitumia chance hiyo kupumzika historia itatuhukumu sisi sio zitto,tusiwape wezi nafasi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
zitto aisaidie serikali kwa kuwapa hayo majina aliyosema anayo, baada ya hapo serikali ichukue hatua dhidi ya wahusika!
 
Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss
teh teh, ina maana ukiwa mpinzani huwezi kuunga hoja yenye ukweli kwa mpinzani mwenzako? Huo ni upofu wa fikra, kama mnajua mbowe ni mmoja wa watuhumiwa, kwa nini zitto asimtaje? Anaogopa nin? Kwa nini awadanganye watanzania kuwa ana majina ya walioficha pesa kwenye kamati akikanusha? Kwenye ukweli usemwe, hakuna cha chadema wala ccm, wanasiasa wa aina ya zitto ni hatari sana kwa ustawi wa taifa. Mböna dr. Slaa alitaja wahusika wa Epa'?
 
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko
napata shida sana kukuelewa, je uwongo ni upi? Kusema una majina ya walioficha pesa nje huku ukiulizwa na kamati ya uchunguzi ukikataa, au kuombwa hayo majina yaweke hadharani na wabunge wa chama chako?
 
Pro Zitto leo mmepata mapigo mawili matakatifu! Ujasiri wa Zitto umeenda wapi? Anashindwa kutaja wahujumu uchumi, atawezaje kuwa rais wa nchi kwastyle hiyo!
teh teh, atakuwa kama jk, nawafahamu wauza unga lakini nimewapa muda wajirekebishe, wanasiasa wengi wa tanzania ni wasanii sana!
 
Young man, please learn to think out of the box. Usijitekenye mwenyewe na kucheka. Look here: he who alleges must prove (wajibu wa kuthibitisha tuhuma uko kwa anayetuhumu). Kiapo ama bila kiapo whatever one says has consequences. Kiapo kina maana moja tu, kwamba kinaongeza "veracity" ama ukweli kwamba aliyeapa alikuwa anajua anafanya nini-basi! Si kwamba (kama unavyotaka kujiaminisha, kwamba bila kiapo anachosema hakiwezi "kula kwake".).


Sasa kama hakina uzito why kizungumziwe na mwanasheria mkuu tena bungeni ambako wana.kinga tayari????!!!!!Kweli kabisa ni negligible issue???!!!!!
Nyie senior citizens saa nyingine! !!!!!
 
Chenge wakati anashuka alisema ana ''vijisenti'' leo eti chadema wamesahau

hivi ndugu hawa ni wapinzani kweli??
wamesahau nin? Je umeelewa maelezo ya Werema jana bungeni? Mkuu hakuna mtanzania anayekataa kuhusu kuficha pesa nje, kinachopingwa ni uwongo wa zitto wa kusema kuwa ana majina wakati hana?
 
Ndugu kinachosumbua hapa ni kuwa mwanzoni mh ZZK aliuaminisha umma wa Watanzania kwamba ana majina, sasa inaposemekana alikula kiapo kukiri kuwa majina hana, inakuwa shida!

Tofauti ya kuzungumza bila kiapo na kuzungumza chini ya kiapo ni nini???!!!
 
kamati ingekubali kupokea majina bila kiapo, ili kwa kuanzia hapo uchunguzi ufanyike, lkn pia Zitto mara kadhaa ameishauri serikali iingie mkataba wa kubadilishana taarifa na mataifa ya ulaya, kwa kufanya hivyo serikali ingepatiwa taarifa za wananchi wake wenye fedha chafu nchi hizo.

Ajabu sisi chadema tunaungana na serikali kutetea mafisadi, hivi nani asiyejua kuwa chenge ana fedha chafu uswissi? Zitto alichosema isue ni fedha hizo kurudi na si kutaja majina, nafikiri tujipe muda tuone.
ha haa , kutaja majina bila kiapo, halafu iweje? Nimeamini siasa ni ujanja ujanja!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom