CHADEMA = CCM, fedha za Uswis? Ni kazi ya Zitto kutaja majina au vyombo vya usalama?

Status
Not open for further replies.

simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??

WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??

MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO

LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??

HIVI MSAIDIWEJE??
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
hili tena litampaisha sana zitto kuliko inavyodhaniwa

werema na lukuvi kweli TISS imekosa majibu?? mbona mnawadanganya watanzania kiasi hiki??

Lukuvi you are smarter...mmewapata wengi
 
Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Nov 22, 2012
1,993
2,000
UKO SAHIHI KABISA,,,ilitosha kwa kamati kukubali majina toka kwa Zitto bila kiapo na wangeanzia hapo kufanya uchunguzi,,,lkn pia Zitto mara nyingi ameitaka serikali kutia sahihi mkataba wa kubadilishana taarifa na nchi ya uswiss na zingine ambazo fedha haramu zimefichwa kwa wingi, lkn serikali badala ya kutia saini mkataba huo inasuasua. kwa mkataba huo serikali za ulaya zitapata uhalali wa kuipa serikali ya tanzania kuhusiana na fedha chafu.

Pia tujiulize, hivi nani asiyejua kuwa Chenge ana mabilioni uswiss? Hivi nani asiyejua kuwa serikali haikuwa tayari kufuatilia fedha za rada? sasa nashangaa wanaCHADEMA kwa kukubali kucheza ngoma ovu ya serikali kisa tu wanachuki binafsi na Zitto. Kama ulivyosema, ni suala la muda tutakuja kujua mengi, Zitto amefanya la maana kuyataja majina hayo chini ya kiapo kwani kwa serikali isiyokuwa na nia na chuki hiz toka kwa wenzake angepata matatizo zaidi na kuvuruga hata uwezekano wa fedha hizo kurudi.
 
mucho886

Senior Member
Dec 1, 2013
169
0
Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss
 
emroso

New Member
Nov 24, 2013
1
0
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko
 
The Quest

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
275
0
Pro Zitto leo mmepata mapigo mawili matakatifu! Ujasiri wa Zitto umeenda wapi? Anashindwa kutaja wahujumu uchumi, atawezaje kuwa rais wa nchi kwastyle hiyo!
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Ni aibu sana hawahawa wanaoungana na Lukuvi wanajiita ni wapinzani, wanajiita eti wanataka kuondoa mafisadi wakati huo wakiungana kumpinga Zitto kwa sababu ya chuki za kisiasa... Huenda Mbowe amewalipa vijana na akina Lema ili asiumbuliwe maana yupo kwenye list ya mafisadi wanaoficha mabilioni uswiss

Chenge wakati anashuka alisema ana ''vijisenti'' leo eti chadema wamesahau

hivi ndugu hawa ni wapinzani kweli??
 
The Quest

JF-Expert Member
Aug 10, 2013
275
0
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko

Wapuuzi ninyi.. ku allert ndo nini? alikuwa anahangaika kusafiri huku na huku kupeleleza na kutafuta hao watu na akasema anawajua hao watu leo anasema hana jina hata moja? Shame in you pro zitto!
 
Dotto C. Rangimoto

Verified Member
Nov 22, 2012
1,993
2,000
Very true sio kazi ya zitto. Na kazi yake ni kuallert tu. Issue watz ni bendera. Wanapenda uongo. Wamuache zitto. Yeye alisha play pary yake. Na sio jukumu lake kutaja au kuchunguza. Kunawatu wanakula mishahara hiyo wafanye kazi zao. Ila issue waliowapa ugali inawezekana ndio wenye majiko

kamati ingekubali kupokea majina bila kiapo, ili kwa kuanzia hapo uchunguzi ufanyike, lkn pia Zitto mara kadhaa ameishauri serikali iingie mkataba wa kubadilishana taarifa na mataifa ya ulaya, kwa kufanya hivyo serikali ingepatiwa taarifa za wananchi wake wenye fedha chafu nchi hizo.

Ajabu sisi chadema tunaungana na serikali kutetea mafisadi, hivi nani asiyejua kuwa chenge ana fedha chafu uswissi? Zitto alichosema isue ni fedha hizo kurudi na si kutaja majina, nafikiri tujipe muda tuone.
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Wapuuzi ninyi.. ku allert ndo nini? alikuwa anahangaika kusafiri huku na huku kupeleleza na kutafuta hao watu na akasema anawajua hao watu leo anasema hana jina hata moja? Shame in you pro zitto!

shame on you traitor........

zitto kma polisi?? hizo fedha za kusaifiria ulikuwa unampa wewe?? what a shame.............................
 
Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
2,000
Sio kazi ya Zitto kutaja!?
Mbona alisema atataja?
Akubali alituongopea maana hajataja na kwa hilo ni haki kumwita MUONGO.
 
jojojo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
925
500
Chenge wakati anashuka alisema ana ''vijisenti'' leo eti chadema wamesahau

hivi ndugu hawa ni wapinzani kweli??

Unashangaza mwizi ajichunguzeje akienda na kusema hakuna Zitto atakuwa na la kusema? Alitakiwa kuwa na uhakika pasi na shaka kuwa anayo majina. Uchunguzi gani nusunusu Zitto unatia aibu yy achimbe zaidi na hakutakiwa kupayuka kabla hajawa na uhakika. Upayukaji wake na kutaka umaarufu vinamgharimu. Wakizifunga a/c zao atasemaje ndy taswira ya vijana hy kweli domokaya ni aibu. Aibu yake ndy hapo aende mbele zaidi na kuchimba zaidi. Ndy wanasiasa vijana hasa wa kigoma
 
aloycious

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
5,883
2,000
Yani nichongewe kiapo ndio nitaje! Hata mimi nisingetaja. Akili ndogo sana ilitumika.
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
kamati ingekubali kupokea majina bila kiapo, ili kwa kuanzia hapo uchunguzi ufanyike, lkn pia Zitto mara kadhaa ameishauri serikali iingie mkataba wa kubadilishana taarifa na mataifa ya ulaya, kwa kufanya hivyo serikali ingepatiwa taarifa za wananchi wake wenye fedha chafu nchi hizo.

Ajabu sisi chadema tunaungana na serikali kutetea mafisadi, hivi nani asiyejua kuwa chenge ana fedha chafu uswissi? Zitto alichosema isue ni fedha hizo kurudi na si kutaja majina, nafikiri tujipe muda tuone.
Hivi unadhani kweli mwizi anaweza kujishtaki mwenyewe? Eti ajikamate mwenyewe? Mtu aseme kuwa zimefichwa fedha Uswiss na Wahusika ambao ni viongozi waandamizi wa Serikali waoneshe ushirikiano katika hilo? Ilikuwa anayetoa tuhuma aje na ushahidi kamili bila kutegemea kupata msaada serikalini. Unafikiri mtu kama Chenge akuunge mkono?
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,467
2,000
Hakuna kosa kubwa linalofanywa na kizazi hiki kama kuwa washabiki wa kila kitu na kuficha na kushindwa kufikiri kwa sababu ya chuki na wivu

Si kazi ya zitto kutaja majina ya walioweka fedha nje ya nchi, si kazi ya zitto kutaja account number zao. Kazi ya zitto ilikuwa ku-ALERT na kama kutaja majina atataja ila si chini ya KIAPO

Kuapa kuna maana nyingi na wahuni hawa kufanya sarakasi na ionekane hawana hela ni kitu kidogo

Werema na Lukuvi mnajua kabisa akina nani wana fedha nje ya NCHI, ili kukwepa lawama MNATAKA MZIGO WA KUTAJA UWE JUU YA ZITTO na zitto kwa akili amekwepa hilo na mmekubali kuingia kwenye tundu

kesho mkitajiwa majina na serikali za marekani na uingereza mtasemaje??

HIVI NA NYIE WANACHADEMA AMBAO LEOMKO UPANDE WA LUKUVI NA WEREMA, NANI ALYEWAROGA?? hivi msaliti hapa ni nani??HAKI YA NANI UKIONA WATANZANIA UTAWAONEA HURUMA, ZITTO ANGETAJA MAJINA NA KURUKWA INGEKUWAJE?? MNAJUA KUAPA NA KUTAJA MAJINA??

WATANZANIA WENZANGU, HIVI MNATAKA MSEME HAKUNA WATANZANIA WALIOWEKA HELA USWIS NA ILIKUWA KAZI YA ZITTO KUTAJA MAJINA?? SIO VYOMBO VYA USALAMA??

MBONA MMEKUWA PUNGUANI KIASI HICHO?? WAREMA NA TEAM YAKE WANATAKIWA WALETE MAJINA, WALICHOFANYA AKINA WAREMA NI KUWEKA MTEGO WASIONEKANE WAO WAMEWAUMBUA WENZAO ILA NI ZITTO

LEO CHADEMA KWELI MNAUNGANA NA MAJIBU YA WEREMA KISA CHUKI ZENU KWA ZITTO??

HIVI MSAIDIWEJE??

Ndugu kinachosumbua hapa ni kuwa mwanzoni mh ZZK aliuaminisha umma wa Watanzania kwamba ana majina, sasa inaposemekana alikula kiapo kukiri kuwa majina hana, inakuwa shida!
 
mckenzie

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
344
0
Young man, please learn to think out of the box. Usijitekenye mwenyewe na kucheka. Look here: he who alleges must prove (wajibu wa kuthibitisha tuhuma uko kwa anayetuhumu). Kiapo ama bila kiapo whatever one says has consequences. Kiapo kina maana moja tu, kwamba kinaongeza "veracity" ama ukweli kwamba aliyeapa alikuwa anajua anafanya nini-basi! Si kwamba (kama unavyotaka kujiaminisha, kwamba bila kiapo anachosema hakiwezi "kula kwake".).
 
Nakei. Jq

Senior Member
Jul 11, 2013
169
0
Kama anamajina halafu anaogopa kuyaweka waz hafai kuwa kiongoz. Huwez unawapigisha ngomjera watu wazina unamajina ukiambiwa wataje unakwepa mwisho wa cku unasema hauna.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom