Kamanda yatendee haki maji yangu pendwa na ninakunywa muda huu, ccm haifai kuthaminishwa hata na kopo la maji ya kilimanjaro, labda ccm na jiwe. Tunashukuru kwa operation zao za kutokomeza raia maana watanzania na hasa wa vijijini wagumu kuelewa elimu ya uraia, zaidi zaidi mpaka waguswe moja kwa moja na ma-operetion ya kuwatokomeza ndio wanaelewa ccm ni kaburu wa aina gani............