CHADEMA Bunda.

CHADEMA Bunda.

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Kuna dalili za wazi CHADEMA Bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata Nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo Bunda kwa sasa hivi na CCM hawajapata mgombea hata vyama vingine navyo pia.

hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya Bunda.
 
kuna dalili za wazi chadema bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo bunda kwa sasa hivi na ccm hawajapata mgombea hata viama vingine nazo pia.

Hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya bunda.
japokuwa
nilikuwa nakunywa chai kavu , lakini kwa habari hii najiona kama vile nakula mchemsho wa mbuzi ! Asante sana kamanda .
 
jina lake tu ni KITISHO kwa wapiga kura !

Nimeangalia kny kamusi, yaonesha ifweero ni jina la kichagga (nilipitia shule huko kwao moshi), lina maana na Kipoozeo!

sasa hapo ndo pana shida ni kipoozeo katika muktadha gani: mwanamke ' it can be! ila kama ni mwanaume mmm! s..ga?
 
Ni ajabu na kweli; CCM is dying a natural death, kimechoka na kimechokwa. Kama alivyosema Mh. Msigwa; CCM ni Chama Chakavu.
 
Kuna dalili za wazi CHADEMA Bunda kupita bila kupingwa katika uchaguzi mdogo kata Nyasura nasema hivyo kuwa sababu nipo Bunda kwa sasa hivi na CCM hawajapata mgombea hata vyama vingine navyo pia.

hii nikuwa mjibu wa kamati ya siasa ccm wilaya ya Bunda.
hata huku Arusha nako ajapatikana
 
Ni ajabu na kweli; CCM is dying a natural death, kimechoka na kimechokwa. Kama alivyosema Mh. Msigwa; CCM ni Chama Chakavu.
Kwa nini asi saidie kugombea Zito,maana naona cdm wanampiga chini
 
wewe ni nani katika ccm tupia picha basi kama kweli.
 
Nimeangalia kny kamusi, yaonesha ifweero ni jina la kichagga (nilipitia shule huko kwao moshi), lina maana na Kipoozeo!

sasa hapo ndo pana shida ni kipoozeo katika muktadha gani: mwanamke ' it can be! ila kama ni mwanaume mmm! s..ga?
haya mambo ya kichaga nayo unayatoa wapi.
 
Wameshindwa hata kumshauri Msalani si ange saidia kuliko kuanza kuonyesha anguko la ccm mapema hivyo
 
Back
Top Bottom