CHADEMA bila matusi itakuwaje?

CHADEMA bila matusi itakuwaje?

hata siku haijaisha tayari vijana wa chdma uzalendo uwewashinda kuvumilia kutusi kuna thread inashambuliwa kwa matusi hatar,hiz sheria zije tu
 
nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.

dungu yangu usanii bila viroja huwezi kuambulia chochote.kwahiyo mwanachama wa cdm yeyote yule bila matusi,dhihaka,jaziba. hawezi akaamini kuwa watu wamemuelewa vizuri. hii inasababishwa nakukoswa hoja. kwahiyo dungu jiulize hata wewe hoja huna.vilevile hekima nayo ndiyo hivyo tena yaani hamuna kabisa unategemea watu wakusikilize watu kwalipihapo?lazima utumie usanii.
 
nenda pale ufipa huwa kila ijumaa kunakua na mashindano ya kutukana
 
Matusi alitukana Nape Mwanza, naona mahaba yanakufanya ujue ni CDM.
 
Back
Top Bottom