CHADEMA bila matusi itakuwaje?

CHADEMA bila matusi itakuwaje?

nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.
Vijisenti lilikua ni neno Takatifu?
 
wakat mwingine unaweza hata usisome uzi hata siku3 kweny hili jukwaa mana jukwaa zima wahuni wamechafua sjui hawa watu ni wajamii gan
Huna lolote mnafiki mkubwa we ! nani kakuita hapa ? tuwekee hayo matusi ya cdm tuyaone , unaandika uongo kwa faida ya nani ?
 
Hivi Lusinde, Nkamia, na yule aliewahi kutamka bungeni Fu,,ck you na yule aliesema ASHKI majinuni walikuwa Chadema wale? Mmmgh kazi ipo
 
Nimesema ni tusi kwa maana unawatusi watu kwamba vijana wa chadema wamelowea kwenye ulevi. Je una uhakika na ilo? Je pombe zote wanywaji ni vijana wa Chadema vyama vingine hawanywi na kulewa? na hiyo study umeifanyia wapi? Kumsingizia mtu ni aina ya tusi
Unafahamu maana ya KULOWEA ?
 
nimekua nkijiulza Mara kwa mara kwann hiki chama wanachama wake,wapenz,mashabiki hupenda kutoa lugha za matusi je wanaamin nn kwenye matusi,je viongoz wao wapo hivi?kama jibu no kwann wasiwaeleweshe hawa wafuasi wenye ashk mitandaon?napata waswas na hawa viongoz pia.

Mtaji mkubwa wa chadema ni kutukana.Kama wakiandaa mkutano wa hadhara wasipotuka vyama vinavyowapinga na kutukana polisi, wateja wao huwa hawaridhiki! ndio maana sidhani kama wananchi wa kawaida yupo anayeijua sera na ilani ya chadema zaidi ya kusikia matusi na kuambiana fulani mwizi basi.
 
Huna lolote mnafiki mkubwa we ! nani kakuita hapa ? tuwekee hayo matusi ya cdm tuyaone , unaandika uongo kwa faida ya nani ?

duh kazi ipo na hii ndo sampuli ya wafuas wa chadema hebu pitia thread mojamoja soma cmmnt utapata majibu ya hili sjakurupuka.
 
umewahi kuhudhuria mkutano wa sadifa hamisi ? maana tusijekuwa tunapoteza muda kwa mtu aliyeanzisha uzi ili apate umaarufu .

nimewah kuhuduria jf na kuona cmmnt za wafuas pamoja na viongoz wao
 
duh kazi ipo na hii ndo sampuli ya wafuas wa chadema hebu pitia thread mojamoja soma cmmnt utapata majibu ya hili sjakurupuka.

Mkuu usihangaike nao hao,yan Bavicha wana matusi makali utafikiri walilaaniwa au hawana wazazi
 
Back
Top Bottom