Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua

Mbona mnafarakana sasa?Ondoa unafiki wako na uchochezi hapa.
Wewe ni kibaraka wa CCM na hivi vikosi unavyotaja ni uongo mtupu.Chadema haina majeshi na inalindwa na Mungu aliye juu.
Wao wana silaha na sisi tunamtegemea Mungu.
Hivyo ni vikosi vyenu. Vipi mnavikataa? Ukiona machadema yamekujamyote humu basi ujue kuna siri kuu imefichuliwa. Mohamed Mtoi, Mungi, Molemo. Bado Crashwise ataingia soonUsalama wanajipenyeza kutaja vikosi ambavyo CHADEMA haija wahi kuwa na navyo! Mwanachadema makini anayekijua chama, tena aliyeko Arusha hawezi kutaja vikosi ambavyo havipo kwenye mfumo wa chama.
Pamoja na zuio batili la polisiccm hapa Arusha.Tunapenda kusisitiza kwa wananchi wote wa jiji la Arusha kujitokeza kwa wingi kesho saa tatu eneo la Philips,maandamano yetu yapo pale pale.Kimsingi zuio la polisi ni BATILI na hawana mamlaka hiyo.CHADEMA tunatoa wito wa wananchi kujitokeza kwa kuwa maandamano haya ni halali kwa mujibu wa katiba ya nchi
Idara ya ulinzi ya chama(red bregade) imejiandaa vya kutosha kulinda waandamanaji wote,ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya kwanza.Vikosi vyetu vya ujasus na ulinzi,UKOMBOZI WA FIKRA 335,MAPAMBANO DAIMA,Mau Mau,pamoja na El Che Guevara 111 vipo tayari kwa mapambano,na ikibidi tutavitumia dhidi ya jeshi la polisi,na vibaraka wake.
Aluta continua
Mbona mnafarakana sasa?
Mbona mnaanza kupingana na wenzako. Wasiliana kwanza na Mtoi, Molemo, Mungi nkMaandamano yetu Arusha yapo pale pale na maandalizi yote yamekamilika.
Hayoooooo! Yameumbuka hayoooooo! Matusi ya nini kama hamjaguswa penyewe?Hivyo vikosi mlivyovitaja nenda kamtajie mamayako mashenzi nyie..... Maandamano ya chadema siku zote ni ya amani, na dunia inajua hivyo!
Umeona eeeeh! Ndo maana mabomu kila siku hayaishi Arushahichi chama WAASI WA LIBYA
Hahahahahahahaaaa! Sasa siri inaanza kufichuka. Kumbe Mwigamba ndo katia siri hii! Hongera sana Samson Mwigamba kwa kuwa mzalendoMwigamba na washenzi wenzie bado wanawaza kwa kutumia tundu la chooni.... mtuachie chadema yetu nyie