Kwa mtu anayepata taarifa hizi za kutofautiana kwa madiwani wa chadema na uongozi wa juu wa chadema mjini Arusha, aweza fikiria kuwa chadema kipo ktk hali mbaya. Lakini in reality, mtu aliyepo hapa A town anajua mood ya wananchi against serikali ya chama cha mapinduzi. Wananchi wamechoka na hawataki kabisa kusikia viongozi wa ccm.