Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
<br />@Nanyaro, unalofanya hapa Jamvini ni jambo la maana sana - kutoa taarifa kuhusu hali ya Arusha. Hii inauwa rumours na ningeshauri kwa kipindi hiki ambacho Arusha bado iko kwenye misukosuko basi uendelee kutoa taarifa (as events take place). <br />
<br />
Ombi langu ni moja tu na naomba ufikishe juu - WATIMUENI MADIWANI WASALITI. Watanzania tunataka uhuru na haki.basi. Hawa madiwani wameshakuwa 'contaminated' hawafai hata kidogo, na wataleta shida huko mbeleni si tu kwa chama bali kwa Taifa zima. Tanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu ya umamluki, hatusimamii yale tunayohubiri. Hawa madiwani waliandamana na wale marehemu 3 na wahanga wengine waliojeruhiwa. Leo inakuwaje wanasema yameisha huku yale yaliyowafanya wakakaa barabarani hayajatendeka?
Ushahidi wa picha huu hapa. ebu izoom FF aone vizuri maana anatumia miwani.@FaizaFoxy, soma mchango wa mdau No30 hapo juu. Hao vijana waandamaji (17!) wamekodoshwa, na sasa wanadai chao!
Na mchezo wa kukodisha umekuwa sugu sasa, Igunga waliaji, wazimiaji, na hata wabeba machela walikodishwa. Kwenye mikutano yenu mnabeba watu kwenye fusso! Sasa naona kwa Arusha mmemua kukodisha waandamanaji, lakini nakuhakikishia hapa mtaumbuka. Za mwizi 40.
Acha zako na wewe kwani UVCCM Arusha hawakuandamana na kutaka kuchoma moto jengo la CCM Mkoa kutaka kumtoa Mary kitanda.
dah mkuu kweli nimekubali kwamba JF huwa hatuondoki bali tunajivua magamba tuCHADEMA nia njema mipango yenye kutia mashaka Jipangeni:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/3970-chadema-cannot-be-trusted-with-our-national-security-9.html#post2323659
<br />wanachama na wafuasi wa chadema waandamana na kufunga ofisi ya mkoa kwa nia ya kumpinga lema ambaye wanasema ndie chanzo cha mgogoro wa Arusha kwa kuwagawa madiwani, wale ambao wasio muunga mkono yeye huwaita wasaliti wa chama wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti yakimshutumu lema kukivuruga chama hicho, wameitaka kamati kuu kuketi mjini Arusha au aende Dr slaa akatatue mgogoro huo.
Wafuasi wa madiwani wanaounga mkono mwafaka wafunga ofisi ya CHADEMA ARUSHA...picha na video zinakuja
Huwa kila siku nasema,
Upinzani Tanzania badoo kabisa!
Tuendelee kujenga umoja wetu na CCM yetu! Hawa wanaoenda upinzani siyo kwamba wanapenda sana maslai ya TZ but ni kutokana na uchu wao wa madaraka hasa baada ya kuenguliwa CCM!