Mpaka Slaa anatoa waraka wake, hamna mwanachadema yeyote aliyekuwa amefika kwenye eneo la tukio including Slaa mwenyewe. Baada ya kuwasema hapa ndio wameamua kujibaraguza.
Inabidi watambue kuwa, maafa kama haya inategemea mtu umeguswa vipi.kutoa hela nyingi siyo kigezo cha kuguswa sana. CDM inabidi wajifunze kuact on the spot, siyo wasubiri tuwaseme hapa ndio wakafanyie kazi maoni yetu.
Nawashukuru sana viongozi wa CDM kwa kupenda kuchukua maoni yetu hapa. Huwa wanajidai kutupinga lakini baadaye kinawaingia na kuyafanyia kazi.