Chadema acheni utoto

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
596
Reaction score
309
Kwema makaka na madada, I was abit tight ndo maana nimepotea jamvini, bahati mbaya simu yangu ni ya buku 15 na sina laptop hivyo the only means that I can use to access internet ni kwenda kwenye cyber cafe.

OK - Nimesoma gazeti la Arusha times la wiki iliyopita na wiki hii and I have snatched that the Municipal council has approved Tshs48 billion budget in 2011/2012 fiscal year wakati madiwani wa Chadema wakiwa hawamo kikaoni. THIS IS NOT ACCEPTABLE na tunaomba mmalize matatizo ili tupate haki yetu.

SO BAD
 
We kila ukipotea Jf ukirudi unarudi na malalamiko kwa CDM, ulshasema we ni mwanachama HAI wa CDM kwa nini haya usiyaseme huko kwenye vikao vya chama?
 
We sema kama ni sawa walichofanya ama si sawa
 
Nafikiri ulipoweka post yako sio sehemu yake nafikiri mod watalishughulikia hili..

Kuhusu Arusha bado CCM wanaendelea na ubabe wao sijui hatma yake ni nini
 
nadhani unaelewa tatizo nini.mpaka ccm wakatakapotambua upuuzi wao ndio mambo yatakuwa shwari sijui akili zilizikwa pamoja na mwalimu.
 
km jina lako not enough huwezi ridhika na chochote kila kitu kwako not enough so u will never be satisfied!
 
km jina lako not enough huwezi ridhika na chochote kila kitu kwako not enough so u will never be satisfied!
 
Unajua acheni upuuzi siyo uanibuka tu na kuandika utumbo kwa kufuwata mkumbo.
Lets talk about Tshs48 Billion which have been approved for project Development in the Arusha Municipality.

What the hell are you trying to tell me????? This is serious issue SO DONT TRY TO MAKE JOKES HERE
 
Waliipa serikali siku 21 tangu kikao cha kamati kuu march.....nadhani wamepata jibu,so watcha wanna do?
 
Hayo mambo yapeleke kwenye vikao vya chama. Au umehamia CCM? Ulishasema wewe ni mwanachama HAI wa CDM so kayamalizie huko huko.
 
Ni serious issue bt wewe, you are not serious. Asiyekujua nani bana?
 
Hayo mambo yapeleke kwenye vikao vya chama. Au umehamia CCM? Ulishasema wewe ni mwanachama HAI wa CDM so kayamalizie huko huko.
Kwani hana uhuru wa kuanika mawazo yake hapa?.....acheni ushabiki nunda!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu katika siasa huwezi kushirikiana na CCM labda uwe na kichaa. CCM wanawezana na Osama Bin Laden (marehemu) tu kwani angewawekea bomu ktk kikao chao cha council.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…