CHADEMA Acheni UTOTO BANA..!

CHADEMA Acheni UTOTO BANA..!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
913
Mambo haya kimsingi hatupendi kuyasikia, CDM ni Chama Kikubwa labda VIONGOZI wake hawalijui hili. Inashangaza sana ati baadhi chaguzi ndogo misukule wanapita bila kupingwa.. Kitu hii haivumiliki, how. Ni kuwapa credit magamba wasizostahili. Imagine Magu, TUNUKUU POST HII

Hatimaye ile kauli ya Mjinga akijitambua mwelevu yupo matatani ime endelea kujidhihirisha jana baada ya cdm kuigalagaza vibaya ccm katika uchaguzi wa serikali za vijiji na vitongoji wilayani Magu.

Kwa mujibu wa matokeo ni kuwa vijiji vilivyo kuwa vinagombaniwa jumla yake ni 5 ambapo CHADEMA imeshinda vijiji 3 vya Kahangara, Kabila na Ihayabuyaga.

CCM imeambulia kijiji 1 cha Langi na UDP nacho pia kime ambulia kijiji 1.

Katika upande wa vitongoji, jumla kulikuwa na vitongoji 37 ambapo vitongoji 17 CCM imepita bila kupingwa kwasababu ya jiografia na maandalizi. Hivyo kwenye vitongoji 20 vilivyo gombaniwa cdm imepata vitongoji 14 na ccm imeambulia vitongoji 6.

."

Among 37 vitongoji ati 17 CCM imepita bila kipingwa, Kule Kwa Mwigulu-Iramba, kijiji kimoja Ccm wamepata ushindi wa Mezani, Na miongoni mwa Kata 26 Za uchaguzi ujao CCM tayari wameahapata ushindi wa mezani kata moja, hii kitu ni Uzembe, VIONGOZI acheni utoto bana.

Cha Kutia Moyo pale aliposimamishwa mgombea wa CDM alishinda Kwa Kishindo, CDM itandue uongozi wa Kiimla, wenyeviti wa mikoa Na Wilaya, embu Kazi Ifanyike AMA kuwaimarisha au kusasambua UONGOZI wa ngazi hizo. Kuna Ombwe kubwa la Uongozi (Leadership Vacuum) huko Mikoani..

Chaguzi za Udiwani June 16, ni kipimo Cha nguvu ya Uundaji wa Kanda. Kanda ambayo misukule itashinda tutaitilia doa.

Kwenye mageuzi hachekewi Mtu, CDM kilikuwa Chama Cha Kisiasa ila Kwa sasa ni Chama Cha watanzania Wote wa Dini zote, Kabila zote Kwa matabaka Yao dhidi ya Usikteta, Ibabe, Wizi wa Waziwazi unaofanywa Na Serikali hii Kwa Sasa.
 
Hata kama CCM itabaki yenyewe Kwenye medani Za Siasa nchini itaparaganyika tu, hivi sasa haina shingo wenyewe wanauana..
 
Umeeleweka ndug yangu LAKINI kumbuka baadhi ya maeneo hata wana CHADEMA wenyewe hawataki kugombea!
 
Mambo haya kimsingi hatupendi kuyasikia, CDM ni Chama Kikubwa labda VIONGOZI wake hawalijui hili. Inashangaza sana ati baadhi chaguzi ndogo misukule wanapita bila kupingwa.. Kitu hii haivumiliki, how. Ni kuwapa credit magamba wasizostahili. Imagine Magu, TUNUKUU POST HII

Among 37 vitongoji ati 17 CCM imepita bila kipingwa, Kule Kwa Mwigulu-Iramba, kijiji kimoja Ccm wamepata ushindi wa Mezani, Na miongoni mwa Kata 26 Za uchaguzi ujao CCM tayari wameahapata ushindi wa mezani kata moja, hii kitu ni Uzembe, VIONGOZI acheni utoto bana.

Cha Kutia Moyo pale aliposimamishwa mgombea wa CDM alishinda Kwa Kishindo, CDM itandue uongozi wa Kiimla, wenyeviti wa mikoa Na Wilaya, embu Kazi Ifanyike AMA kuwaimarisha au kusasambua UONGOZI wa ngazi hizo. Kuna Ombwe kubwa la Uongozi (Leadership Vacuum) huko Mikoani..

Chaguzi za Udiwani June 16, ni kipimo Cha nguvu ya Uundaji wa Kanda. Kanda ambayo misukule itashinda tutaitilia doa.

Kwenye mageuzi hachekewi Mtu, CDM kilikuwa Chama Cha Kisiasa ila Kwa sasa ni Chama Cha watanzania Wote wa Dini zote, Kabila zote Kwa matabaka Yao dhidi ya Usikteta, Ibabe, Wizi wa Waziwazi unaofanywa Na Serikali hii Kwa Sasa.

Need brain transplant
 
...umesomeka mkuu,ila si zaidi ya miezi miwili tangu mkakati wa kikanda uzinduliwe na hii ndo kazi yake kwenda mpaka mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba,so expect result ya M4C nyumba kwa nyumba soon. hivi juzi tu makamanda ndo wamehitimu nadhani morogoro ili kwenda kumwaga sumu. naamini soon hii kitu itakwisha...
 
kwikwi, chadema chwadwemwa , chadudema , hiki ni chama au ni nini jamani nahsindwa kuelewa cahadem,a sio chama chadema ni watu tuuuu wamekaa hapo kna kuitwa chama ambacho sio chama lakini ni watu tuuu, dooh,
 
Mambo haya kimsingi hatupendi kuyasikia, CDM ni Chama Kikubwa labda VIONGOZI wake hawalijui hili. Inashangaza sana ati baadhi chaguzi ndogo misukule wanapita bila kupingwa.. Kitu hii haivumiliki, how. Ni kuwapa credit magamba wasizostahili. Imagine Magu, TUNUKUU POST HII

Among 37 vitongoji ati 17 CCM imepita bila kipingwa, Kule Kwa Mwigulu-Iramba, kijiji kimoja Ccm wamepata ushindi wa Mezani, Na miongoni mwa Kata 26 Za uchaguzi ujao CCM tayari wameahapata ushindi wa mezani kata moja, hii kitu ni Uzembe, VIONGOZI acheni utoto bana.

Cha Kutia Moyo pale aliposimamishwa mgombea wa CDM alishinda Kwa Kishindo, CDM itandue uongozi wa Kiimla, wenyeviti wa mikoa Na Wilaya, embu Kazi Ifanyike AMA kuwaimarisha au kusasambua UONGOZI wa ngazi hizo. Kuna Ombwe kubwa la Uongozi (Leadership Vacuum) huko Mikoani..

Chaguzi za Udiwani June 16, ni kipimo Cha nguvu ya Uundaji wa Kanda. Kanda ambayo misukule itashinda tutaitilia doa.

Kwenye mageuzi hachekewi Mtu, CDM kilikuwa Chama Cha Kisiasa ila Kwa sasa ni Chama Cha watanzania Wote wa Dini zote, Kabila zote Kwa matabaka Yao dhidi ya Usikteta, Ibabe, Wizi wa Waziwazi unaofanywa Na Serikali hii Kwa Sasa.

Hebu edit hapo kwenye red Udikiteta ,ubabe
 
Back
Top Bottom