CHADEMA acheni ujinga wa Kujihami!!

Tatizo mikutano imezuiwa, wataenda kueleza wapi?
Lowasa na viongozi wa Chadema wanafanya ziara huko mikoani. Tulishauri Chadema kuanzisha vyombo vyao vya habari kwa ajili ya kueneza sera za chama na propaganda.Kuna Twitter,Facebook,Instagram na Youtube hizi ni platform za bure ambazo Chadema wameshindwa kuzitumia vizuri

Issue ya kukamatwa kwa Maxence Melo imeonyesha nguvu ya mitandao ya kijamii ,Chadema wangeweza kutumia nguvu hiyo kupiga kelele kuhusu kupotea kwa Ben Saanane lakini ni aibu uongozi wao umekaa kimya
 
Hahaha mtasaga sana meno juu ya propaganda za ukanda na ukabila...Chadema imesha vuka hapo since 2010
wewe unajua kinachoongelewa ama unaleta ushabiki tu. Kimevukaje wakati mitaani wapo bize wajinga wanaoaminisha watu kwamba CHADEMA ni Kaskazini na wapo wanoamini?
 
Ni ujinga...!!

Siwezi kuvua nguo zangu kumvisha mwendawazimu anayetembeza mbilimbi barabarani..!!!!

Mimi ndiye nitaonekana chizi zaidi yake. Nadhani umeelewa.

BACK TANGANYIKA
 
Mimi nashangaa sana kama hadi sasa kuna mtu anayejiita Great thinker halafu hajui madhambi ya CCM na anajaribu kuwatetea... hii ni hatari kwa jamii...All in all siasa ni mchezo mchafu...
wewe unajua ya CCM huku yalio ndani ya chadomo yamekushinda, unadai demokrasia huku ndani ya chadomo hakuna demokrasia mbowe mwenyekiti tangu enzi za mh Mkapa
 
ulisahau na hili; chadema ni kikundi cha wafanyabiashara, ni kinalinda maslahi ya mtei, ni mtei ndo mwenye mamlaka nani awe mwenyekiti
 
wewe unajua ya CCM huku yalio ndani ya chadomo yamekushinda, unadai demokrasia huku ndani ya chadomo hakuna demokrasia mbowe mwenyekiti tangu enzi za mh Mkapa
Ndo ssm ilivyokupumbaza na akili yako kitenesi kuwa kila anayeipinga ni chadema pasipokufahamu kuna wakosa chama pole yako.....
 

Kazi ya mahakama ya mafisadi nini? Usijitekenye ukacheka mwenyewe. "ZEZETA"
 
Chaga Development Manifesto (CHADEMA) zana hii haito watoka
Watu kama hawa wamelishwa ujinga hadi umewakolea na umegeuka ugonjwa wa akili zao na wanaambukiza na wengine pia. Nakumbuka mwaka 1995 watanzania walipolishwa ujinga kwamba NCCR-Mageuzi ni chama cha wachaga na ndiyo maana bendera ya ina milima Kilimanjaro na watu wakaamini huku kwenye noti zetu kumesheheni picha za Mlima kilimanjaro. Sijui nazo ni za wachaga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…