Chadema acheni ubishi, kubalini mmekwama!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Tafuteni watu intelligent wawatoe hapo mlipo, nchi hii ina watu wengi sana wenye uwezo hamuwezi kukosa, acheni kutumia watu wale wale waliowakwamisha siku zote kutaka kutatua matatizo ambayo wao ndiyo walioyaleta!

Mmepoteza mvuto kabisa ishara zipo kila mahali lkn mko in denial, ...
 
hivi wewe huna kazi za kufanya? Mbona unawashwa kwa pilipili iliyo shamba?
Kuwa wazi basi kuwa upon kitengo maalum cha kuichungilia cdm inafanya nini kila wakati. Haiingii akilini mpenzi na shabiki kindakindaki wa ccm ujishughulishe na ya wana cdm kama huna maslahi binafsi.
Kawaambie wanaokutuma kuwa cdm hawapandikiziwi mapandikuzi ya kutuletea vurugu kutoka ccm tena. Nendeni cuf mlikozoea na ACT mnakowakoroga kila uchao. Waache cdm wajenge chama Chao nanyi jiandaeni kwa uchaguzi ujao. Haya kachukue posho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom