Wamejiandikisha milioni 19.Watu wamegoma kupiga kura baada ya kuona rais anatumia madaraka yake kunajisi box la kura. Mnadhani mkijifanya mnapambana na mafisadi ndio mtapata support ya watu? Mngekuwa mnakubalika watu wangejitokeza kwa hiari yao kushiriki uchaguzi. Majimbo yote nchini mtachukua ila sio kwa kura za wengi, bali kwa hujuma kwa kushirikiana na vyombo vya dola.
Chadema watabishaWamejiandikisha milioni 19.
Mtoa mada rudi shule,unapowashulikia hao mafisadi unatumia utaratibu upi???
CHADEMA kimegeuka chombo cha kupinga na kukosoa kila jambo linalofanywa na awamu ya 5.
Raisi akitumbua majipu, akikamata wahujumu uchumi, CHADEMA wamekuwa watu wakuwatetea mafisadi na kuona kama mafisadi wanaonewa. Kipindi cha 2010-2015 Niliipenda CHADEMA kwa kukemea mafisadi na kuyapinga ,hakika kilikuwa kipindi kizuri sana, mikutano ya CHADEMA, mitandaoni kote walikemea mafisadi na wahujumu uchumi.
Mtu aliyekufa kipindi kile akifufuka leo hawezi kuamini kama leo CHADEMA wamekuwa wakiwatetea mafisadi na wabadhirifu wa Mali za umma kama wanaonewa eti Rais Msgufuli ana chuki nao . Mafisadi yamebanwa na sasa yanazitapika hela yalizoiba, cha ajabu CHADEMA bado wanamkatisha tamaa Rais Magufuli aonekane ana chuki na mafisadi.
Kwa kweli Itawawia vigumu kuiona Ikulu, niwaambieni majimbo mengi yatarudi CCM, majimbo kama Iringa mjini, Mbeya mjini ni kama tayari yamesharudi CCM, anayetoka maeneo hayo anaelewa ninachoongea. Sasa nyie endeleeni kupinga na kutetea mafisadi na wahujumi uchumi.
Kwa ziara anazofanya Rais Magufuli mikoani ni dhahiri Rais anakubalika na wananchi sana tofauti na propaganda za mitandaoni za CHADEMA.
Kuna wasiwasi CHADEMA ikapata mbunge mmoja uchaguzi ujao.
Kawaida yao.Chadema watabisha
Ni kikao gani cha kamati kuu au halmashauri kuu ya chama kilichoketi kutetea mafisadiCHADEMA kimegeuka chombo cha kupinga na kukosoa kila jambo linalofanywa na awamu ya 5.
Raisi akitumbua majipu, akikamata wahujumu uchumi, CHADEMA wamekuwa watu wakuwatetea mafisadi na kuona kama mafisadi wanaonewa. Kipindi cha 2010-2015 Niliipenda CHADEMA kwa kukemea mafisadi na kuyapinga ,hakika kilikuwa kipindi kizuri sana, mikutano ya CHADEMA, mitandaoni kote walikemea mafisadi na wahujumu uchumi.
Mtu aliyekufa kipindi kile akifufuka leo hawezi kuamini kama leo CHADEMA wamekuwa wakiwatetea mafisadi na wabadhirifu wa Mali za umma kama wanaonewa eti Rais Msgufuli ana chuki nao . Mafisadi yamebanwa na sasa yanazitapika hela yalizoiba, cha ajabu CHADEMA bado wanamkatisha tamaa Rais Magufuli aonekane ana chuki na mafisadi.
Kwa kweli Itawawia vigumu kuiona Ikulu, niwaambieni majimbo mengi yatarudi CCM, majimbo kama Iringa mjini, Mbeya mjini ni kama tayari yamesharudi CCM, anayetoka maeneo hayo anaelewa ninachoongea. Sasa nyie endeleeni kupinga na kutetea mafisadi na wahujumi uchumi.
Kwa ziara anazofanya Rais Magufuli mikoani ni dhahiri Rais anakubalika na wananchi sana tofauti na propaganda za mitandaoni za CHADEMA.
Kuna wasiwasi CHADEMA ikapata mbunge mmoja uchaguzi ujao.
Mtoa mada rudi shule,unapowashulikia hao mafisadi unatumia utaratibu upi???
Unaweza wewe kueleza hao wezi walitumia utaratibu gani kuiba? Na kama hawakutumia utaratibu halali wa kuiba, basi hata kushughulikiwa watashughulikiwa kwa namna yoyote mpaka wazitapike, maana kuiba ni dhambi, na malipo ya dhambi ni maumivu, sasa ulitaka wadekezwe?
kila mwanafunzi mwenye sifa ya mkopo atapewa.Mlisema kila vijiji kitapata mil 50 je nyie kwa kauli hiyo ndio mnaaminika kweli nyani hajui kundule
Kweli fikara sasa zimefika mwisho. Mbona hamjiulizi swali dogo tu. Hivi hayo mahela mafisadi waliyokubali kurudisha wenyewe, huto tumilioni 50 kwa kila kijiji aliyetoa ahadi hii atatoka jasho gani kuzigawa??kila mwanafunzi mwenye sifa ya mkopo atapewa.
ml 50 kila kijiji.
nyongeza ya mishahara
Wamejiandikisha milioni 19.
mwambie amalize kwanza MADENI ya KOROSHO alizopora huku KUSINI mwaka umeisha sasa ngonjera korosho kapora yeye anawaagiza PCCB wawakamate wasiohusika HOVYO KABISA. alipora korosho zetu alipeKweli fikara sasa zimefika mwisho. Mbona hamjiulizi swali dogo tu. Hivi hayo mahela mafisadi waliyokubali kurudisha wenyewe, huto tumilioni 50 kwa kila kijiji aliyetoa ahadi hii atatoka jasho gani kuzigawa??
Msijeanza kusema; Anawahonga wapiga kura kwani alishawahigi kuahidi kuwa; Najua pa kuzipatia.