CHAD: Wanamgambo 20 wa Boko Haram wauawa

CHAD: Wanamgambo 20 wa Boko Haram wauawa

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,047
Reaction score
3,980
Taarifa ya jeshi la Chad inasema jumla ya wapiganaji 20 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuwawa katika makabiliano na wanajeshi wa Chad.

Taarifa hiyo inasema jeshi la Chad lilipambana na wanamgambo hao wa Boko Haram Ijumaa.

Mwanajeshi mmoja aliuwawa na watano wengine kujeruhiwa wakati wa mapigano hayo yaliyofanyika katika kisiwa cha Chuku Hadje kilichoko katika Ziwa Chad.

Chad ni mwanachama wa kikosi cha pamoja cha kijeshi kinachojumuisha Cameroon, Niger na Nigeria kilichozinduliwa mwaka 2012 makhsusi kupambana na Boko Haram.
IMG_20180325_064410.jpg
 
Walazwe mahala pema patulivu motoni mashetani wakubwa,!!! Yaani kabla hawajawazika wawakate Kate vipande vipande halafu wawatandike risasi 10 kila maiti. I hate them!!!
 
Washatumika mda wao umeisha kama savimbi. Waafrika kazi tunayo
 
Back
Top Bottom